Watani zangu Wahaya leo Mtani wenu Mzanaki nawachana 'Live' ili mbadilike kwani tumeshawachoka

Pumbavu.

Uliwaahidi Members hapa tena kwa Kunitishia ukidhani Nitaogopa au Kukuogopa na kusema kuwa Utanianika kwakuwa una details zangu zote iweje sasa unaanza tena kutia Huruma na kuweka Silaha chini kwa Vita uliyoianzisha nami hapa JamiiForums ambayo Wapumbavu Wenzako wengi tu huko nyuma wameshindwa?

Nasisitiza tena kwa Kujiamini kabisa kuwa rudi kwa huyo aliyekupa Taarifa zangu muulize ana uhakika wa 100% huyo Mtoto wake wa Pili ni wake?

Umesema kuwa GENTAMYCINE nimefukuzwa Kazi na kwamba unayajua mno Mambo yangu na Mimi kwa Kujiamini nimekuruhusu uiweke hapa JamiiForums hiyo Barua ya Mimi Kufukuzwa huko Kazi na itaje pia na hiyo Kampuni / Taasisi sawa?

Masuala ya Wewe sijui Kujiita Mcha Mungu na Umeoteshwa hayanihusu kwani najua Roho Mtakatifu kamwe hawezi kukaa kwa Mpumbavu wa aina yako labda niambie Shetani nitakubaliana nawe sawa?

Ulichokisahau tu ni kwamba GENTAMYCINE nina PhD ya Kujibizana na Kuwanyoosha Wapumbavu, Wanafiki na Washamba wa aina yako hivyo Kwangu utavuna kile Ulichokipanda.

Unataka Vita nami halafu unaanzisha ID yako Mpya ili Ujibizane nami na Unishambulie kusudi hata ukipigwa BAN bado utarejea kutumia ID yako zoeleka hapa JamiiForums.

Una Elements zote za Dume Shoga!!!
 
Hizo Ajende za wazungu wa magharb unazipenda Sana..nilituliza mashambulizi Baada ya kuona un stress za maisha Sasa wewe ' unathani kuniambia hizo Ajenda za wanzungu itanishutua? Mpaka Sasa ww inaongoza kwa Kuandika ujinga Hapa.
Unathani kuita hivyo ndio kutuliza hasira yako' Baada Akili kurudi huko chini kila unachowaza Ni huko huko tu
Weka facts mezani acha blaa blaa Kiraka wewe
 
Pumbavu.
 
Hivi katika Lugha Sanifu ya Kiswahili kuna neno Unathani kama Ulivyoandika hapa Mpumbavu Wewe au neno sahihi ni Unadhani?

Sasa kama Kiswahili tu chenyewe hukijui na Unachapia hivi utaweza kweli Kushindana na Brainiac Mimi GENTAMYCINE?

Hopeless.
 
Hivi moderator wanaachaje ujinga kama huu hewani !?
 
Waha wanyonge wetu [emoji1][emoji1][emoji1] wao hata uwatanie nini hawachomoi, ila kazi ipo kwa Mushaija, wakina Rweyemamu ni wabishi ukijumlisha majigambo hata kama hana mia akijua tu kingereza na akawa na ndugu ulaya iweeeh!!! kazi ni kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…