GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wanafunzi waacha vipindi na kuanza kuukimbilia msafara wa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Mhe. Tundu Lissu. Wanafunzi hao walianza kuimba "Tundu Lissu!.. Tundu Lissu!.." Leo Septemba 23, 2020 Msafara huo ulikatiza katika shule hiyo ukielekea Muleba Kusini.
Official Bavicha Taifa
Mbona 'mtamkoma' Mkemia Wetu kwa 'Visasi' vyake. Mnajifanya 'Kutuiga' Sisi 'Mashujaa' na 'Wagumu' wa Mkoa wa Mara ( Musoma ) Kazi mnayo!
Official Bavicha Taifa
Mbona 'mtamkoma' Mkemia Wetu kwa 'Visasi' vyake. Mnajifanya 'Kutuiga' Sisi 'Mashujaa' na 'Wagumu' wa Mkoa wa Mara ( Musoma ) Kazi mnayo!