Yapo mengi yanayowatia hasira wahaya
Kahawa kulazimishwa kuiuza serikalini Kwa bei ndogo wakati kilo ikiwa 4000 serikali inanunua 1000
Pamoja na kuwa na kiwanda kikubwa cha sukari na kulima miwa huko misenyi lakin bado bei ya sukari iko juu kuliko mikoa mingine ambayo haina.
Matusi na kejeli wakati wa tetemeko wahaya by nature hawapendi dharau
Kutelekezwa kabisa mkoa wa kagera kimiundombinu hasa mji wa Bukoba. Manispaa hii haina hata mradi wowote wa UGLSP siju word bank na mbaya zaidi pesa za ujenzi wa miradi hazitolewi kisa bukoba ni chadema.
Utesajwi na udharirishaji na wahaya wakubwa Tu mfano mufuruki,kabendera, Rugemalila , mwijage,nk wahaya wote ni ndugu hata kama hawajuani.
Hiv ndo vinafanya mkoa huu kuwa hiv na miaka ya mbeleni wasipoangalia utajitenga kutoka tz