GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Magufuli na Wahaya wanafahamiana vizuri sana. Amefanikiwa sana kuwazuga Wasukuma na wanamwona ni Msukuma lakini Wahaya wamekataa kata kata kwao omushuti ataendelea kuwa omushuti tu hata akijiita muzirankende. Hata Burundi wazirankende wapo!! N ahilo analifahamu.Kwa wahaya magufuli pamoja na uraisi wake wanamwita "MSHUTI"
Wahaya dharau Ni asili
Na bado second half watakula msoto hadi wafanane na senene ๐๐Hao mbona bifu kitambo hata kabla hajawa mkemia mkuu?
Huoni jinsi walivyolishwa msoto kwenye first half?
Hawezi kubadirika kamwe! Huyu ni muuaji. Akipewa second term anaweza kuwa hata kama Iddi Amini. Tunamstaafisha rasmi October 28 arudi kupumzika chatoWaliobuni mfumo wa demokrasia waliona mbali kwa checks and balance. Mzee baba hata akirejea atabadilika sana either kuwa moderate ama kufanya maamuzi magumu kuwa katili zaidi. Alijikuza na wapambe ccm kumtukuza mno akajaa upepo kwamba yeye ni nabii fulani, yanayotokea kwa Lissu kwake ni tumbo la kuhara.
Akiponyoka kwenye hiki kitanzi kila mtu atasota. Si ajabu akabadili hadi zile amri kumi ili kujikita zaidi.Na bado second half watakula msoto hadi wafanane na senene ๐๐
AmenKwa taarifa yako the Genius Mkemia ni Raisi Mstaafu wa Tanzania kuanzia November 2020;
Swadakta!!Muache aisome number The Genius Mkemia mwenye roho mbaya,mbabe,mzee wa vitisho,mvuruga uchumi wa wananchi ,mzee wa visasi.
Wanaotegemea jamaa atoke ili maisha yao yanyooke watakubali shoo ya huyu Msukuma๐,ngoja tuone. Mimi tangu enzi za mkapa, silii njaa kwahiyo hata aamue kubadili zile amri kumi atajua mwenyewe.Akiponyoka kwenye hiki kitanzi kila mtu atasota. Si ajabu akabadili hadi zile amri kumi ili kujikita zaidi.
Kabisa ndugu. Huyu siyo kumpa second half atauwa watu Sana.Hawezi kubadirika kamwe! Huyu ni muuaji. Akipewa second term anaweza kuwa hata kama Iddi Amini. Tunamstaafisha rasmi October 28 arudi kupumzika chato