Watani zangu 'Wakubwa' Kabila la 'Wahaya' mpo tayari na mmeshajiandaa 'Kisaikolojia' Kuchukiwa na Mkemia?

Hawezi kupita hivyo visasi atafanyia kwake labda
 
Walishajitafakari na kujipanga... Mkemia uchwara atajuta kuwafahamu...
 
Magufuli ataendelea kuwashikisha adabu
 
Mkemia atuache kidogo, yeye ashaambiwa atatunzwa kama wastafu wengine... Hivyo amuachie mbeba maono atufikishe kanani
 
Kwa wahaya magufuli pamoja na uraisi wake wanamwita "MSHUTI"
Wahaya dharau Ni asili
Mshuti ni mtu mchafu sana na anayevaa nguo zinazochanika. Tulipokuwa wadogo tuliitwa "washuti" tulipokuwa tunalowa mchanga na tope kwa kucheza. Ukiitwa hivo unajidharau na kuonekana bwege.

Tafsiri sahihi siijui, nahisi ni Mtutsi au Mhutu wa Rwanda maana walikuwa wanakuja wamechafuka kutoka kwao.
 
Na bado second half watakula msoto hadi wafanane na senene [emoji23][emoji23]
Mwalimu Nyerere alikuwa na bifu nao tangu wapo wote Makerere Uganda ila waliishi miaka yake 24. Huyu atakaa mingapi ata akiongeza kumi tena maana siamini kama hana nia ya kuongeza.
 
Magufuli anapendwa na watanzania wote hususani wanafunzi wa shule za msingi
 
Tukitoa hiyo aya ya mwisho, Mkuu umeyasema yote [emoji119][emoji119]
 
Mwalimu Nyerere alikuwa na bifu nao tangu wapo wote Makerere Uganda ila waliishi miaka yake 24. Huyu atakaa mingapi ata akiongeza kumi tena maana siamini kama hana nia ya kuongeza.
Hakuna ajuae ataishi miaka mingapi.Kuhusu swala la yeye kuongeza miaka ya utawala, bunge litaamua😃!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…