Watani zangu wanasayansi

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,013
Reaction score
1,183
Natania lakini.

Hivi wataalamu wa mambo ya SAYANSI hamuwezi mkabuni kwa kutengeneza BOMU zuri la kisasa lenye size ndogo lenye uwezo mkubwa sana hivi ambalo ukilituma mahali popote duniani linasafiri na kufika bila shida yoyote hivi alafu sasa liwe kwenye mfumo wa mvua au hewa hivi.

Wimbo

"Enjoy your self (It's later than you think ) 1950"
 
Ngoja tulifanyie kazi hili wazo Kilingeni.. Ni kitu kinachowezekana kabisa
Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…