Uchaguzi 2020 Watano wakamatwa Kampeni za CHADEMA na CCM

Uchaguzi 2020 Watano wakamatwa Kampeni za CHADEMA na CCM

Bado unasubiri nchi ya asali badala ya kufanya kazi ujenge Taifa.

Kazi yako kuweka genge la mapambio ktk Sacco's yenu.

Hakuna mdanganyika Sasa hivi,hao vijana miaka 22 hawakupiga kura 2015 wengi wakijua watoto,wakiwajua Tena 2025 hakuna atakayeshughulika na nyinyi walaghai wa nchi.

Bora CCM mbivu kuliko Sacco's yenu hyo kilimanjaro
Yaani miaka zaidi ya 50 CCM bado wanaahidi kuleta maji safi na vyoo??

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom