Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,660
Watanzania twaweza kuwa hatujuani ila tukakaa pamoja na kula na kunywa na kununuliana bia utadhani tumesoma pamoja ila nchi nyingine hakunaga....mfano Kenya
Lugha ni ngumu sana kwa kuwa lahaja zimeongezeka sana....unaweza hama mtaa ukawakuta jamaa wanaongea usiambulie kitu.....Kweli hiyo kipekee kabisa je uko kitaa watu wapoje? Na lugha za mtaani je
tunapenda kusalimiana...hata kama tumeonana mara ya kwanza!...
hatuna HARAKA kabsaaaa!..muda kwetu sio mali...
tunapenda kuzungumzia NGONO na kufanya!..LOL
tuna kauli ya ASANTE,NASHUKURU,NAOMBA...hata kama ni haki yako!..
We acha tu, eti wanaita ukarimu lakini ni uungwana au sio?