Watanzania 11 mashakani nchini Msumbiji, siku 365 hawajulikani walipo

Watanzania 11 mashakani nchini Msumbiji, siku 365 hawajulikani walipo

LAZIMA NISEME

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
262
Reaction score
297
Ni situ 365 yaani Mwaka mzima Tangu Meli ndogo ya mizigo MV AL.HUSSEIN II inayomilikiwa na bwana MAULANA SALUM ilipewa kibali Tarehe 3/4/2020 ikiwa na Watanzania 12 kutoka Zanzibar kupeleka sheena ya Mchele Msumbiji, haijarejea Zanzibar Tangu wakati huo pamoja na kwamba taarifa za kuufikisha mzigo huo zilipatikana

Jitihada za mmiliki wa Meli hiyo kupata usaidizi kwa Serikali ya SMZ watanzania wajulikane walipo na kurejea Zanzibar zimegonga mwamba na sasa anaiangukia Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassani kuingilia kati ili Watanzania 11 ambao inasadikika wanashikiliwa na mamlaka za Msumbiji kurejeshwa Nyumbani.

Utata umeibuka baada ya Mfanyabiashara wa Mchele huo Bwana SAID SALIM ALEY (SAID DIGALAH) Kurejea Zanzibar wiki iliyopita bila wenziwe 11.

WATANZANIA 11 MASHAKANI NCHINI MSUMBIJI,SIKU 365 HAWAJULIKANI WALIPO

PHOTO-2021-04-23-23-38-52.jpg


PHOTO-2021-04-23-23-38-54.jpg


PHOTO-2021-04-23-23-38-52 2.jpg
 
Watakuwa wamejiunga na wenzao huko Delgado kaskazini mwa Msumbiji katika harakati za kuisimika Dola ya kiislamu huko
 
Back
Top Bottom