Watanzania 119 warejeshwa nchini wakitokea Falme za Kiarabu

Watanzania 119 warejeshwa nchini wakitokea Falme za Kiarabu

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,618
Reaction score
9,611
6b876225a1aedabfa1e5ec07b6ee16fd

Takribani watanzania 119 waliokuwa wamekwama katika nchi za Falme za Kiarabu baada ya mlipuko wa Corona wamesili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere majira ya saa nane mchana kwa ndege ya shirika la ndege la FLY Dubai.

FLY Dubai imewarejesha watanzania hao waliokuwa wamekwama Abu Dhabi tangu 25 machi 2020 mara baada ya serikali ya falme za kiarabu ilipotoa zuio la kuingia na kutoka.

Wakizungumza wakati na baada ya kumaliza taratibu zote za uhamiaji baadhi ya Watanzania hao ambao wengine walikuwa na watoto wadogo wamesema maisha ya kufungiwa ndani kwa takribani miezi mitatu si rahisi hata kidogo jambo lililosababisha ugumu wa maisha baada ya wengine akiba zao kumalizika.

Ikumbukwe kuwa tarehe 15 may 2020, watanzania takribani 246 walirejeshwa na serikali wakitokea India.
 
Kuna watu humu waliposikia Marekani na Uingereza wakirudisha raia wao kwao, walihusisha jambo hilo na walichokiita Tanzania kutofanya vizuri kwenye mapambano ya COVID-19, hususani kwa kutoweka 'lockdown'. Naamini propaganda hiyo itakuwa imemalizwa na tukio hili.
 
Jamani hawajarudishwa na serikali,mnajioganise wenyewe mashirika ya ndege yako wazi wanataja bei au nauli na wanamwambia idadi ya watu ili waweze kurusha ndege.Mnachokifanya mnaenda ubalozini wanawaombea kibali cha kuingia nchini.Hakuna serikali kurudishia watu.Hata hao wamerikani na waingereza the same procedure.Halafu mtu anashuka kwenye ndege badala ya kumshukuru Mungu anamshukuru Raisi yaani kuna watu wanahitaji kupimwa akili
 
aibu kwa chama kikuu cha upinzani nchini kuchangisha wabunge billioni 8 kisha kuziiba kwenye fixed account na kuzitafuna huku chama kikiwa hakina hata ofisi.!

Rais Magufuli amekuwa akijenga hospitali nzima kwa milioni 400 tu ,hebu jiulize kwenye billion 8 zilizotafunwa , chadema wangejenga ofisi ngapi kwa million 400?

Hali hii haikubaliki ni lazima sasa chadema wapone unyumbu na waanze kuhoji mambo kama haya na kulazimisha hela zirudishwe ili waweze kujenga ofisi za chadema nchi nzima na waachane na utaratibu wa kupanga kwenye mapango ya ufipa na kuishia kufanyia vikao vya kamati kuu kwenye hoteli za kitalii zinazogharimu mabilioni ya shilingi

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah mkubwa Ila nawe una akili nzito asee. Sasa hapa chadema wanaingiaje.

Mnatukwaza Sana tusio na vyama. Mnatukata Sana stimu hata kuchangia mada sometimes. Kila kitu Ni chadema, CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani hawajarudishwa na serikali,mnajioganise wenyewe mashirika ya ndege yako wazi wanataja bei au nauli na wanamwambia idadi ya watu ili waweze kurusha ndege.Mnachokifanya mnaenda ubalozini wanawaombea kibali cha kuingia nchini.Hakuna serikali kurudishia watu.Hata hao wamerikani na waingereza the same procedure.Halafu mtu anashuka kwenye ndege badala ya kumshukuru Mungu anamshukuru Raisi yaani kuna watu wanahitaji kupimwa akili

Serikali Ina mchango wake , si kumbuka lazima wawasiliane na baloz za nyumbani kwanza, kitendo cha kuwapokea raia tu during this time pia ni safi kwa serikali

Kama serikali haikuwapeleka huko why ihangaike kuwarudisha? [emoji23]

Japokua nchi nyingine nilishuhudia ndege zikitumwa nchi kadhaa kuchukua raia wake bure tena na kuwekwa Quarantine for free

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sasa umeongea nini sijakuelewa.Sasa hawa wamekuja free unafikiria wamelipa hela yao na mpaka waliambiwa lazima wafikie kuanzia watu 119 ndio ndege inaenda .Serikali imewasaidia mini sasa
 
Back
Top Bottom