Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,611
MashallahWamewahi Sherehe ya jumapili..
Dah mkubwa Ila nawe una akili nzito asee. Sasa hapa chadema wanaingiaje.aibu kwa chama kikuu cha upinzani nchini kuchangisha wabunge billioni 8 kisha kuziiba kwenye fixed account na kuzitafuna huku chama kikiwa hakina hata ofisi.!
Rais Magufuli amekuwa akijenga hospitali nzima kwa milioni 400 tu ,hebu jiulize kwenye billion 8 zilizotafunwa , chadema wangejenga ofisi ngapi kwa million 400?
Hali hii haikubaliki ni lazima sasa chadema wapone unyumbu na waanze kuhoji mambo kama haya na kulazimisha hela zirudishwe ili waweze kujenga ofisi za chadema nchi nzima na waachane na utaratibu wa kupanga kwenye mapango ya ufipa na kuishia kufanyia vikao vya kamati kuu kwenye hoteli za kitalii zinazogharimu mabilioni ya shilingi
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani awakai karantini zile 14 days ?Wamewahi Sherehe ya jumapili..
Mbona walishawarudishaKuna nyumbuuz wangesikia Marekani wanawarudisha raia wao wangeazisha nyuzi za kutosha
Jamani hawajarudishwa na serikali,mnajioganise wenyewe mashirika ya ndege yako wazi wanataja bei au nauli na wanamwambia idadi ya watu ili waweze kurusha ndege.Mnachokifanya mnaenda ubalozini wanawaombea kibali cha kuingia nchini.Hakuna serikali kurudishia watu.Hata hao wamerikani na waingereza the same procedure.Halafu mtu anashuka kwenye ndege badala ya kumshukuru Mungu anamshukuru Raisi yaani kuna watu wanahitaji kupimwa akili
Sasa umeongea nini sijakuelewa.Sasa hawa wamekuja free unafikiria wamelipa hela yao na mpaka waliambiwa lazima wafikie kuanzia watu 119 ndio ndege inaenda .Serikali imewasaidia mini sasaSerikali Ina mchango wake , si kumbuka lazima wawasiliane na baloz za nyumbani kwanza, kitendo cha kuwapokea raia tu during this time pia ni safi kwa serikali
Kama serikali haikuwapeleka huko why ihangaike kuwarudisha? [emoji23]
Japokua nchi nyingine nilishuhudia ndege zikitumwa nchi kadhaa kuchukua raia wake bure tena na kuwekwa Quarantine for free
Sent from my iPhone using JamiiForums