Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe nae acha ujinga mm hata km sikubaliani na baadhi ya mambo hapa nchi ila linapokuja swala nchi yngu kushambuliwa kwa vyovyote basi nitabaki upande wa nchi yangu..Kenya anasimamia ukweli, jpm analeta masihara
Kama mnajiandaa kupokea watalii sijui watatoka nchi gani wakati tumeshatiwa doa, tusahau utalii hapa nchini
Sent using Jamii Forums mobile app
@Bia yetuKwani madereva waliopimwa huku Tanzania ni wangapi
Kenya anasimamia ukweli, jpm analeta masihara
Kama mnajiandaa kupokea watalii sijui watatoka nchi gani wakati tumeshatiwa doa, tusahau utalii hapa nchini
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Tz ndio kama Sauz na Kenya ndio Somalia? [emoji1] Baadhi yenu watz huwa mnapenda sana kujiliwaza na vitu vya kipumbavu. Hii hii Kenya ambayo omba omba kutoka kanda ya ziwa Tz wametapakaa kwenye miji yote hadi Kathonzweni? Alafu ndugu zenu nao kutoka kaskazini mwa Tz wapo kila sehemu nchini Kenya kwenye mishe zao za kutafuta hela wakichuuza nguo. Kuna soko pia Nairobi, panaitwa Gikomba, kule lugha rasmi ni kichagga. Unajifanya hukumbuki mlivopanick baada ya mbunge Jaguar kutishia kuwachochea wananchi kwenye eneo bunge lake wawafurushe?Hao Ni wakenya wenzenu wa hapo mpakani. Mtanzania hawezi kulilila kuingia Kenya. Ni sawa umkute Msauzi analilia kuingia Somalia.
Itakuwa ajabu!!!!