Watanzania 15 waliovuka mpaka kinyume cha Sheria wakamatwa na Polisi wa Kenya

Watanzania 15 waliovuka mpaka kinyume cha Sheria wakamatwa na Polisi wa Kenya

Sasa Tz ndio kama Sauz na Kenya ndio Somalia? [emoji1] Baadhi yenu watz huwa mnapenda sana kujiliwaza na vitu vya kipumbavu. Hii hii Kenya ambayo omba omba kutoka kanda ya ziwa Tz wametapakaa kwenye miji yote hadi Kathonzweni? Alafu ndugu zenu nao kutoka kaskazini mwa Tz wapo kila sehemu nchini Kenya kwenye mishe zao za kutafuta hela wakichuuza nguo. Kuna soko pia Nairobi, panaitwa Gikomba, kule lugha rasmi ni kichagga. Unajifanya hukumbuki mlivopanick baada ya mbunge Jaguar kutishia kuwachochea wananchi kwenye eneo bunge lake wawafurushe?
Naanzaje kulilia kwenda kenya?
Acheni ujinga watanzania hatuna akili mbovu kiasi hicho..
Tanzania tamu wewe acha masikhara.
 
Watanzania.watanzania, watanzania

Nimewaita Mara tatu sababu nataka aje mtanzania Alie jivua itikad zake za vyama aje Kama mtanzania mwenye kupambania adhi yake na nchi yake

Vyombo vya habari Kenya vimeamua vitumie nguvu kubwa kutuchafua watanzania wao pamoja na nchi Yao leo Kenya ametangaza eti wamekamata watanzania ambao walikua wanajaribu kuingia nchin kwao kwa sir licha ya Rais kua ameziwia na kufunga mipaka

Naona wanacho jaribu kufanya Kenya ni kuakikisha wanaichafua Tanzania pia hata wanasiasa wa Kenya na rais wao baada ya kua wamewauz wanach wao baada ya kuingiza ma Mia ya wachina nchin Kenya wakat Corona imeshika Kasi nchin China kitendo ambacho wakenya wengi walikipigia kelele

Pia Kama anafunga mipaka na Tanzania sababu ya Corona mbona hakuwaziwia wachina wasiingie nchin Kenya kwa sababu ya Corona

Pili leo Kenya imetangaza madereva wa Tanzania 51wmekutwa na Corona ilihal amefunga mipaka toka ma juzi alafu in 24 hours amepima watanzania 51 na wote Wana Corona kawapima Lin na wamepita wapi

Kenya anajaribu kutufanyia mchezo mchafu kipindi ichi cha KORONA

Sent using Jamii Forums mobile app

Watz watulie kwao na Makorona yao , Tushawachoka .
 
Ngoja watanzania wakenya waje watetee Kenya yao in the name of politics
 
Je sheria ya Public Health Emergencies kimataifa inaruhusu hili??
 
Nyang'au ni nyang'au tu!! Usitegemee nyang'au kuwa ndugu au rafiki yako!! Hata kama anakuchekea ni suala la muda tu na atakuonyesha kuwa yeye ni nyang'au!!
Watanzania hatujui mambo ya kudhalilishana, lakini kwa wenzetu this is an order of the day!! Nyang'au anawezana na nyang'au mwenzake tu!!
Niwaombe watanzania mlioko mipakani zitambueni nyakati! tulieni nchini mwenu!! Vinginevyo mtaishia kwenye meno ya nyang'au! Nyang'au hana ujirani!!
 
Nashauri maridhiano if at all possible!!
Corona si sababu!! Mwonekano wa jamii hiyo iliyoonekana kwenye clip haiko kabisa kwenye kupambana na corona, honestly!! May God help us!!
 
Hawa watu watatuletea balaa lao la corona, Wakenya wa mpakani msipokua makini tutaisha.
 
Back
Top Bottom