Watanzania 15 waliovuka mpaka kinyume cha Sheria wakamatwa na Polisi wa Kenya

Naanzaje kulilia kwenda kenya?
Acheni ujinga watanzania hatuna akili mbovu kiasi hicho..
Tanzania tamu wewe acha masikhara.
 


Watz watulie kwao na Makorona yao , Tushawachoka .
 
Ngoja watanzania wakenya waje watetee Kenya yao in the name of politics
 
Je sheria ya Public Health Emergencies kimataifa inaruhusu hili??
 
Nyang'au ni nyang'au tu!! Usitegemee nyang'au kuwa ndugu au rafiki yako!! Hata kama anakuchekea ni suala la muda tu na atakuonyesha kuwa yeye ni nyang'au!!
Watanzania hatujui mambo ya kudhalilishana, lakini kwa wenzetu this is an order of the day!! Nyang'au anawezana na nyang'au mwenzake tu!!
Niwaombe watanzania mlioko mipakani zitambueni nyakati! tulieni nchini mwenu!! Vinginevyo mtaishia kwenye meno ya nyang'au! Nyang'au hana ujirani!!
 
Nashauri maridhiano if at all possible!!
Corona si sababu!! Mwonekano wa jamii hiyo iliyoonekana kwenye clip haiko kabisa kwenye kupambana na corona, honestly!! May God help us!!
 
Hawa watu watatuletea balaa lao la corona, Wakenya wa mpakani msipokua makini tutaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…