Heparin
JF-Expert Member
- Sep 24, 2021
- 450
- 3,368
Idadi ya wanaotuhumiwa kwa Uhaini inazidi kuongezeka.
Awali, Jamhuri ilipeleka watu 145 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akiwemo Mfanyabiashara Maarufu Jennifer Jovin (Niffer).
Sasa, Jamhuri imeongeza watu wengine 17 kwa tuhuma hizo hizo, na kesi yao itaendeshwa na Mahakama ya Dodoma.
Pia soma GE2025 - Jamhuri yaongeza wengine 47 kwenye kesi ya Uhaini baada ya Maandamano Oktoba 29, idadi yafikia watu 145
Pia soma: GE2025 - Watu wengine 25 waongezwa kwenye mashtaka ya Uhaini Dodoma, idadi yafikia 187 nchi nzima