Sawa tu.Ameua zaidi ya 3000 kwa kupiga risasi na sasa anataka kunyonga wengine 162….
Sawa tu.
Vijana wanaotaka kuharibu Taifa waharibiwe wao kwanza
Kweli Wakristu wamenuia kupindua nchi. Naona hapo wapo kama asilimia ya ushindi wa mamaIdadi ya wanaotuhumiwa kwa Uhaini inazidi kuongezeka.
Awali, Jamhuri ilipeleka watu 145 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akiwemo Mfanyabiashara Maarufu Jennifer Jovin (Niffer).
Sasa, Jamhuri imeongeza watu wengine 17 kwa tuhuma hizo hizo, na kesi yao itaendeshwa na Mahakama ya Dodoma.
Pia soma GE2025 - Jamhuri yaongeza wengine 47 kwenye kesi ya Uhaini baada ya Maandamano Oktoba 29, idadi yafikia watu 145
View attachment 3498654
View attachment 3498655
Ni dua zangu kwa Mwenyezi Mungu tamati ya maisha yako iwe ni mbaya kuliko ya hawa vijana.Sawa tu.
Vijana wanaotaka kuharibu Taifa waharibiwe wao kwanza
Wakristu tu sio? Kwa hiyo kumbe ndio maana serikali ya mama ako imewapa kesi nzito isiyoendana na walichokifanya kwa sababu mama ako ni muislamu na hao ni wakiristo?Kweli Wakristu wamenhia kupindua nchi. Naona hapo wapo kama asilimia ya ushindi wa mama
Hili shetani jike la kizanzibar litatumaliza safari hii.Ameua zaidi ya 3000 kwa kupiga risasi na sasa anataka kunyonga wengine 162….
Kweli Wakristu wamenuia kupindua nchi. Naona hapo wapo kama asilimia ya ushindi wa mama
Nimeliona hilo pia katika kundi la kwanza. Inawezekana ni mbinu wanayotaka kutumia ya kutaka kugawa watu ili malalamiko yachukue mkondo mwingine wa kidini na baadae watumie nguvu zaidi kudili na makanisa.Wakristu tu sio? Kwa hiyo kumbe ndio maana serikali ya mama ako imewapa kesi nzito isiyoendana na walichokifanya kwa sababu mama ako ni muislamu na hao ni wakiristo?
Kongole kwa kuvunja record ya kesi nyingi zaidi za uhainiSawa tu.
Vijana wanaotaka kuharibu Taifa waharibiwe wao kwanza
Utakufa utawaacha wakiwa haiSawa tu.
Vijana wanaotaka kuharibu Taifa waharibiwe wao kwanza
Hiki ulichokiandika kina maana pana sana, na mimi nilishakiona tangu siku wamefungia kanisa la Gwajima na baadae kuanza kuteka mapadri.Nimeliona hilo pia katika kundi la kwanza. Inawezekana ni mbinu wanayotaka kutumia ya kutaka kugawa watu ili malalamiko yachukue mkondo mwingine wa kidini na baadae watumie nguvu zaidi kudili na makanisa.