Watanzania 173 waliokuwa Afrika Kusini warejea nchini

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,113
Watanzania 173 waliokuwa wakiishi katika Jimbo la KwaZulu-Natal, Afrika Kusini, wamewasili nchini baada ya kuamua kurejea nyumbani kwa hiari kufuatia vuguvugu la kupinga wageni linaloendelea nchini humo.

Zoezi la kuwarejesha raia hao limefanyika kwa ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania kupitia Ubalozi wake nchini Afrika Kusini, ambapo Serikali ya Tanzania imetoa ndege maalum kwa ajili ya kuwawezesha raia hao kurejea nchini





 
Kwanini tusifanye kampeni ya Wasouth ambao wapo nje ya South Africa(Waliopo nchi nyingine) nao warudishwe kwao SA?
 
Mbona wamechoka wamepigika hivyo!
 
Serikali, majirani, ndugu wajiamdae. Asilimia kubwa ni majizi, mauza madawa na mateja ambao walikuwa wanaishi maisha ya uhuru. Bora hata mwizi, mvuta bangi, muuza bangi na tena la bongo wanaogopa na kuheshimu sheria na kufanya Matendo hayo kwa kificho. Hayo yaliyoletwa kule uhalifu walijibinafsishia kabisa na kudhani ni haki yao
 
Vyombo vya usalama viwe macho.....tunawajua vijana wetu wengi waliokwenda huko wana rekodi nyingi za matukio ya uharifu na wengi walikuwa wakiendeleza hayo matendo hata walipokuwa ugenini.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…