1academ
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 2,316
- 3,567
Hawa wauza ngada waswahili waliojazana huku nchini kwetu naomba wanyongwe tuu maana hamna namna, na gharama za mazishi serikali yao ilipie, yaani tulipe kodi ili wao wakule na kulala in our prisons!, hawawezi kuja kutuharibia watoto wetu alafu tuwaache...binafsi nina mpango wa kuanzisha a big online petition ili hili jambo lifanyiwe kazi!!