Watanzania 2,000 washikiliwa kwenye nchi mbali mbali kwa ulanguzi madawa, Kenya ina Watz 660

Hawa wauza ngada waswahili waliojazana huku nchini kwetu naomba wanyongwe tuu maana hamna namna, na gharama za mazishi serikali yao ilipie, yaani tulipe kodi ili wao wakule na kulala in our prisons!, hawawezi kuja kutuharibia watoto wetu alafu tuwaache...binafsi nina mpango wa kuanzisha a big online petition ili hili jambo lifanyiwe kazi!!
 
Naskia mliwapa vibali vya kufanya hiyo kazi[emoji23] [emoji23] [emoji23]

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
They export witches, beggars and now drug traffickers. Msafiri musa mahabusu alikamatwa juzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…