johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Huyu ameshafukuzwa tayariNatamani Nyani Ngabu awe mmoja wao
Wahuni hao wanatetea haki za wanawake ila kweny mishahara wanawake wanalipwa tofauti na wanaume ...Kiukweli kila mtu arudi kwao.Wameandaa robots kureplace wataofukuzwa!
Duuh! Unatania si ndio?Natamani Nyani Ngabu awe mmoja wao
Usitetee ujinga acha watoke nchi za watuTrump anaamini kuwafukuza wageni & wazamiaji kutapunguza tatizo la ajira kwa wananchi wake, kumbe kiuhalisia wanaofukuzwa walikua wanalipwa maokoto ya chini ya kiwango cha kawaida na kutumikishwa like hell
Anyway hii baada ya mda inaweza kuwa na faida au shot
Vijana wa hovyo andaeni passport zenu mapema anytime marekani ataanza kuwaomba awape ajira
Wewe kurudi kwenu ni habari mbaya?Ila watanzania habari mbaya tunazipenda, tupunguze chuki 😹😹
Hilo kutokea ni sawa na mimi kuja kuona yellow vaginal discharge ya mamako 🤣.Natamani Nyani Ngabu awe mmoja wao
Kwa wewe, hata kwa hiari atarudi tu!Natamani Nyani Ngabu awe mmoja wao
Sasa umeharibu. Mimi nilikuwa nakufagilia kwake!😁Hilo kutokea ni sawa na mimi kuja kuona yellow vaginal discharge ya mamako 🤣.
View attachment 3226173