Watanzania 24 wanashikiliwa na Mamlaka ya Uhamiaji Marekani

Noma sana kuwa Deported.
 
Warudi TANZANIA kuijenga nchi
 
Mimi nadhani hawo ndiyo kundii la Sauti ya Watanzania la Dr Slaa na yule Shangazi Maria na yule mdada machomalyenge
 
Usitetee ujinga acha watoke nchi za watu
Hujui kitu.

Wamarekani wengi kazi wanazozikataa Sababu kubwa wanataka kulipwa wastani wa 200$ kwa saa.
Kiuhalisia hakuna mfanyabishara ambae hapendi cheap labour ukizingatia ugumu wa biashara umeongezeka na wazamiaji ni cheap & hard workers

Upo uwezekano mkubwa Plan ya trump kufeli 85% unless afute kodi ya Majengo na kupunguza gharama za huduma kijamii kama umeme, maji, mafuta, n.k
 
waje, huku kaskazini ni kipindi cha kuyaandaa mashamba kwa msimu wa masika. Kuishi kwa watu ki-ujanjaujanja haifai.

JESUS IS LORD&SAVIOR
Hayo mashamba bila watu wa USA hayalimiki 😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…