Watanzania 27 wakamatwa Kenya kwa kuishi bila kibali

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
2,194
Reaction score
4,805
Twenty seven Tanzanians will be deported following their arrest in Mombasa as part of the nationwide crackdown on illegal immigrants.

Security agents in the county handed them over to the Immigration Department on Thursday for facilitation of repatriation. Some were taken to Likoni police station.

NO IDs

Mombasa Police Commander Johnston Ipara said the Tanzanians were among other immigrants from Congo, Somalia, Eritrea and Ethiopia who were arrested for lacking travel documents.

A Cameroonian was among those taken to the Likoni station, police sources said.

East Africans can use their national IDs to get in and out of Kenya, Burundi, Rwanda, Tanzania and Uganda but Mr Ipara said those apprehended lacked these as well

CONFUSION

Meanwhile, it has emerged that the lack of clear guidelines on the crackdown has resulted in confusion among police and the administration.

On Wednesday, some of the foreigners were taken to court but they did not take plea as the prosecution applied to have the charges withdrawn.

State counsel Eugene Wangila told the court that the charge in question - of being in the country illegally - will be reviewed.

Senior Principal Magistrate Henry Nyakweba withdrew the case, upon which the immigrants were handcuffed by police and taken back to Likoni.

The crackdown on illegal immigrants started in May, with the government targeting those who were working in the country illegally.

The operation is by a multi-agency team of security agents including police and immigration officers.

Source Daily Nation
 
Tanzania nao wakianza kuwa handcuff na kuwa deport hao nyan'gau wanitonye!! Ninao hapa kama 30 hivi hawana document yoyote halali au haramu inayowaruhusu kuishi na kufanya kazi hapa! Wengine wameshanunua viwanja na nyumba na wameenda kusomba wenzao wengine! Kiukweli hili suala la uzamiaji nchini kwetu linatufadhaisha na kutudhalilisha sana sisi wananchi hasa wa mikoa ya mipakani! Wakenya wanaingia hapa kwa majigambo kabisa kuwa hili ni shamba la bibi kwa hiyo wana haki na uwezo wa kuingia muda wowote wanaotaka bila kusumbuliwa na yeyote!! Hadi watakapo wafyeka vichwa wa tanzania wenzetu ndipo tutakapogundua kuwa hawa watu wanatudharau na kuidharau nchi yetu!
 
Muda mwingine inatakiwa kuwa unyama kwa unyama tu, kama wao wanamwaga ugali ss tumwage mboga. Halafu hii myth ya East community community hajakaa sawa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania nao wakianza kuwa handcuff na kuwa deport hao nyan'gau wanitonye!! Ninao hapa kama 30 hivi hawana document yoyote halali au haramu inayowaruhusu kuishi na kufanya kazi hapa! Wengine wameshanunua viwanja na nyumba na wameenda kusomba wenzao wengine! Kiukweli hili suala la uzamiaji nchini kwetu linatufadhaisha na kutudhalilisha sana sisi wananchi hasa wa mikoa ya mipakani! Wakenya wanaingia hapa kwa majigambo kabisa kuwa hili ni shamba la bibi kwa hiyo wana haki na uwezo wa kuingia muda wowote wanaotaka bila kusumbuliwa na yeyote!! Hadi watakapo wafyeka vichwa wa tanzania wenzetu ndipo tutakapogundua kuwa hawa watu wanatudharau na kuidharau nchi yetu!
Tena wako kila mahali walahi!
40 yao ipo pale pale walahi
 
Ni kweli mkuu, hawa jamaa wananunua ardhi,sio wao pekee, ila kuna wacongo pia wanazo ardhi hapa. hili jambo linahitajika kufanyiwa kazi mapema. Tunakua wepesi sana kuacha mambo sensitive kama haya.
 
Back
Top Bottom