Watanzania 27 wakamatwa Kenya kwa kukosa hata vitambulisho vya kwao

Revenge kwa lugha yenu

Sent from my SM using Tapatalk

Siku tukifanya revenge ya uchomaji wa vifaranga wetu mtaikimbia nchi yenu nyie, sisi hatuna hizo roho za kishetwan kama mlivyo, tunakaribisha wageni maana wanasaidia sana katika uwekezaji. Yeyote anayekuja kufanya ujasiria ni mtu muhimu kwetu hata kama mama nitilie.
 
Hahaha majambazi wakubwa
Tunawajua sana hata maneno ya huruma hamna
Acha kujisifia kwa mazuri

Sent from my SM using Tapatalk
 
Hahaha majambazi wakubwa
Tunawajua sana hata maneno ya huruma hamna
Acha kujisifia kwa mazuri

Sent from my SM using Tapatalk
Hivyo ndivyo CCM iliwafunza kuhusu Kenya na wakenya, you can't think by yourselves, tembea ujionee kama kuna mkenya ako na tatizo na mtanzania, sie kama nyinyi, raiya mumelishwa propaganda, hadi mnaogopa mkenya wa kawaida ilhali hata wakenya wengi hawaijui Tanzania vizuri, na hawana shughuli ata ukishi mitaa yetu, hakuna atakae jali maisha yako, Uganda is known better. Wacheni roho mbaya EAC., I blame your government more. Imewabeba ujinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nawajua ni the most corrupt people
Sina hamu kabisa na nyie watu mna roho mbaya
Eti tembea uone you make me laugh
Nimejaza pass 3 tangu 1978 na nilipita airport yenu transit na kuibiwa bag langu na bado wakajifanya mbogo baada ya kuwabana na kuliona
Majizi nyie na roho ya kwanini
Tunawajua vizuri na hakuna alietufundisha
Tuna roho safi sana nyie pambaneni na hiyo familia iliyosomba ardhi yenu na nyie kubaki na greenhouses

Sent from my SM using Tapatalk
 
Hamna hicho kiburi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…