Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Revenge kwa lugha yenumapigo ndo nn?
Sent from my SM using Tapatalk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Revenge kwa lugha yenumapigo ndo nn?
hawana lugha yao hao hiyo ni lugha ya mkoloni waoRevenge kwa lugha yenu
Sent from my SM using Tapatalk
Revenge kwa lugha yenu
Sent from my SM using Tapatalk
Nawapaka mafuta tu
Hahaha majambazi wakubwaSiku tukifanya revenge ya uchomaji wa vifaranga wetu mtaikimbia nchi yenu nyie, sisi hatuna hizo roho za kishetwan kama mlivyo, tunakaribisha wageni maana wanasaidia sana katika uwekezaji. Yeyote anayekuja kufanya ujasiria ni mtu muhimu kwetu hata kama mama nitilie.
Hivyo ndivyo CCM iliwafunza kuhusu Kenya na wakenya, you can't think by yourselves, tembea ujionee kama kuna mkenya ako na tatizo na mtanzania, sie kama nyinyi, raiya mumelishwa propaganda, hadi mnaogopa mkenya wa kawaida ilhali hata wakenya wengi hawaijui Tanzania vizuri, na hawana shughuli ata ukishi mitaa yetu, hakuna atakae jali maisha yako, Uganda is known better. Wacheni roho mbaya EAC., I blame your government more. Imewabeba ujinga.Hahaha majambazi wakubwa
Tunawajua sana hata maneno ya huruma hamna
Acha kujisifia kwa mazuri
Sent from my SM using Tapatalk
Mimi nawajua ni the most corrupt peopleHivyo ndivyo CCM iliwafunza kuhusu Kenya na wakenya, you can't think by yourselves, tembea ujionee kama kuna mkenya ako na tatizo na mtanzania, sie kama nyinyi, raiya mumelishwa propaganda, hadi mnaogopa mkenya wa kawaida ilhali hata wakenya wengi hawaijui Tanzania vizuri, na hawana shughuli ata ukishi mitaa yetu, hakuna atakae jali maisha yako, Uganda is known better. Wacheni roho mbaya EAC., I blame your government more. Imewabeba ujinga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna hicho kiburiSio 27 tu wamerudishwa Wengi mpaka sasa, Kenya wameanzisha operation ya kurudisha Watanzania wanaoishi kinyume na taratibu nchini kwao, ikiwa una kitambulisho lakini huna kibali cha kufanya kazi kwao ukakate kibali la sivyo urudi tu, wengine watanzania wamejisahau hata passport hawana wamevuka kinyemela tu,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukasahau kuwa mimi ni mtanzania sio mkenya, kila siku wanarudishwa hapa mpakani mpaka vilema unasehema hawana kiburi hicho.Hamna hicho kiburi
Ukasahau kuwa mimi ni mtanzania sio mkenya, kila siku wanarudishwa hapa mpakani mpaka vilema unasehema hawana kiburi hicho.
Sent using Jamii Forums mobile app