Watanzania 27 wakamatwa Kenya kwa kukosa hata vitambulisho vya kwao

Watanzania 27 wakamatwa Kenya kwa kukosa hata vitambulisho vya kwao

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Ni jambo la kushangaza uwe kwenye nchi ya watu na huna hata kitambulisho cha kwenu, sheria za Kenya zinaruhusu watu wa Afrika mashariki kuishi nchini ila kwa kutumia vitambulisho vya nchi yao hivyo sio lazima pasipoti.
------------------------------------

By Mohamed Ahmed
Twenty seven Tanzanians will be deported following their arrest in Mombasa as part of the nationwide crackdown on illegal immigrants.

Security agents in the county handed them over to the Immigration Department on Thursday for facilitation of repatriation. Some were taken to Likoni police station.

Mombasa Police Commander Johnston Ipara said the Tanzanians were among other immigrants from Congo, Somalia, Eritrea and Ethiopia who were arrested for lacking travel documents.

A Cameroonian was among those taken to the Likoni station, police sources said.

East Africans can use their national IDs to get in and out of Kenya, Burundi, Rwanda, Tanzania and Uganda but Mr Ipara said those apprehended lacked these as well.

"Some were released after producing the required documents," he said.

Kenya: 27 Tanzanians Arrested in Mombasa Crackdown on Immigrants
 
Hilo ni LA kujitetea tu na Ndio Maana Hata mahakama ikaifuta hiyo kesi Mara Tu ilipofikishwa MAHAKAMAN je Kama walikuwa wakiish huko kipind chote na wana hadi Mji huko ulitegemea Iweje na waafrika hatuna destur za kutembea na document
 
Ahaaa haaa haaa

SIYO habari hiyo. Hao waliokamatwa ni Ndg na watu wa Mombasa.
 
hahahaha hawa ndio wanakuja na kuwatumia maskini walemavu vibaya...warudishwe makwao mara moja...tanzanian criminals
 
Warudisheni huku kumenoga
Ila tukianza sisi tusilaumiane..
 
😂 😂 😂 Kenya kuna kipi cha kuikimbia Tanzania jamani hao sio watanzania
 
Hilo ni LA kujitetea tu na Ndio Maana Hata mahakama ikaifuta hiyo kesi Mara Tu ilipofikishwa MAHAKAMAN je Kama walikuwa wakiish huko kipind chote na wana hadi Mji huko ulitegemea Iweje na waafrika hatuna destur za kutembea na document

Ukiishi kwenye nchi ya watu fuata sheria za huko, wacha pindisha pindisha na ukajanja. Sisi sheria zetu sio za kibaguzi kama zenu, ilmradi unacho kitambulisho cha Tanzania kwenu, unaruhusiwa kuishi na kufanya biashara zako, lakini kama huna hata kitambulisho cha kwenu unajiita Mtanzania kwenye nchi ya watu halafu tucheke nawe.
 
Sio 27 tu wamerudishwa Wengi mpaka sasa, Kenya wameanzisha operation ya kurudisha Watanzania wanaoishi kinyume na taratibu nchini kwao, ikiwa una kitambulisho lakini huna kibali cha kufanya kazi kwao ukakate kibali la sivyo urudi tu, wengine watanzania wamejisahau hata passport hawana wamevuka kinyemela tu,



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mligundua ni watanzania sasa kitambulisho cha nini tena?

Hatukungundua ni Watanzania, wao ndio wamesema ni Watanzania na hawana chochote cha kuonyesha Utanzania wao zaidi ya kuongea Kiswahili.
Mjifunze desturi ya kupata walau vitambulisho huko kwenu.
 
hongera sana vyombo vyetu vya dola kwa kazi nzuri hii!! waimbe kwaya sasa huko lock up ili wautaje mtandao wao woteee!!!
 
Back
Top Bottom