Watch your lower back, it gonna land there.North Korea confirms 'successful' new ballistic missile test
Kinachoumiza watu ni kifo au umasikini/utajiri wa aliekufa?mkono mtupu aulambwi.ukifa maskini uwezi kuumiza watu
Kwa kweliHatupangiwi wa kumlilia
We endelea kumlilia huyo mfaume wako aliyekufa kwa matumizi ya ngada sisi tuache tumlilie Ivan
RIP Ivan na Mfaume
Hahahaa! Mungu anakuona ujue.Bila shaka Diamond atakuwa anashangilia kimoyomoyo..! Raha ya single mother baba mtoto/afariki tu.
Kama wanawaonea marehemu wivu nao wafe basi tuwalilie [emoji1]Kwani ivan akililiwa inakupunguzia nini wewe. Kwani yeye sio binadamu
Mkuu una wivu hadi kwa marehemu aisee
Ongea yote,thaminisha kwa kiwango lkn kumbuka kwa Mungu wote sawa.Dogo Mfaume alikuwa na nani?
Thamani ya mtu ni vile alivyo navyo, ndiyo maana hata wewe hukuleta uzi wa masikitiko kwa huyo dogo, mwenye nacho ataongezewa. Huu ni ukweli mchungu, huna kitu huna chako, huna rafiki wa kweli wala nini!!