Watanzania acheni unafiki, ina maana kifo cha Ivan kimewauma kuliko Dogo Mfaume?

Watanzania acheni unafiki, ina maana kifo cha Ivan kimewauma kuliko Dogo Mfaume?

Dogo mfaume alikuwa nani? Tunajua Ivan alikuwa mume wa Zari now mke mzazi mwenzake Diamond, alikuwa anasaidia vijana wengi kuwainua kimaisha., alikuwa mtu anependa sana mitandao ya kijamii kujitangaza, saa Mfaume R.I.P wangapi walikuwa na habari zake?! Usije kushangaa siku Messi anafari pole nyingi kuliko akifariki mchezaji wa Toto, au mabao maana hata majina wengi hatuwajui, acha kulalamika kwa kila jambo.
N kweli mr
Wa2 weng hawakupata habar za mfaume..,,
 
Watanzania kwa unafiki tu hatujambo, sishangai ndio maana hatuendelei.

Leo nimeshangaa sana baada ya kuingia kwenye mitandao ya kijamii nakuta watu wengi wakilia na kuonyesha kuumia sana na kifo cha Ivan, kwanza niseme tu mimi nilikua simjui huyo ndugu, nikataka kujua ni mtu wa wapi nikaambiwa ni mganda alikua mume wa mke wa Daimondi.

Nikauliza kama ni msanii labda wa muziki au maigizo nikaambiwa hapana ni social celebrity tu, anyway sina shida na hilo lakini kilichonishangaza ni kukuta watu kuonekana wameumia sana na kifo cha Ivan kuliko mtanzania mwenzao Dogo mfaume ambae amezikwa juzi na sikuona msanii yoyote ametupia picha ya dogo mfaume au basi kutoa pole.

Utashangaa kifo cha Ivan kimewaumiza sana watanzania kuliko mtanzania mwenzao aliefariki juzi tu hapa, na utashangaa kujua kua watanzania wameumia sana na kifo cha Ivan kuliko hata waganda.

Unafiki jambo baya sana.
Wewe mbona sikuona uzi wako humu kuhusu dogo mfaume kufariki? Jiulize!
 
Hatupangiwi wa kumlilia

We endelea kumlilia huyo mfaume wako aliyekufa kwa matumizi ya ngada sisi tuache tumlilie Ivan
Poza hata kdg ukali wa maneno mkuu basi[emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20]
 
Kwani ivan akililiwa inakupunguzia nini wewe. Kwani yeye sio binadamu

Mkuu una wivu hadi kwa marehemu aisee
Maneno hayo ahh!![emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
cocochanel acha dharau bana, dogo mfaume humfahamu kweli

Mtu nimeandika "samahani..." bado unasema ni dharau... wa Tanzania mnataka mtu awe muongo ndio mtapenda? Na kwani ni lazima kumfahamu kila binadamu? Hata hapa naandika sijui alikuwa anafanya nini? Na kama nilimsikia labda ilipita pembeni ya sikio. Ndio hivyo.... kama ni veleb basi u celebrity una malevo.. ikichangiwa na celeb mwenyewe anajiwekaje kwa watu.
 
Unakufa hujaacha Mali za Watu kutoana Ngeu unajiita kweli Mwanaume?
 
Back
Top Bottom