nandenga chitwadi
Member
- Apr 25, 2017
- 11
- 3
Duhh?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatupangiwi wa kumlilia
We endelea kumlilia huyo mfaume wako aliyekufa kwa matumizi ya ngada sisi tuache tumlilie Ivan
Mdogo wake Daudi BashiteSahamani kukuuliza Dogo Mfaume alikuwa ni nani?
Mkuu umefanya nimecheka Kwa sauti ndani ya hii daladala inaelekea kilombero. Naenda kufanya malipo mahaliKwani ivan akililiwa inakupunguzia nini wewe. Kwani yeye sio binadamu
Mkuu una wivu hadi kwa marehemu aisee
Mkuu umefanya nimecheka Kwa sauti ndani ya hii daladala inaelekea kilombero. Naenda kufanya malipo mahali
N kweli mrDogo mfaume alikuwa nani? Tunajua Ivan alikuwa mume wa Zari now mke mzazi mwenzake Diamond, alikuwa anasaidia vijana wengi kuwainua kimaisha., alikuwa mtu anependa sana mitandao ya kijamii kujitangaza, saa Mfaume R.I.P wangapi walikuwa na habari zake?! Usije kushangaa siku Messi anafari pole nyingi kuliko akifariki mchezaji wa Toto, au mabao maana hata majina wengi hatuwajui, acha kulalamika kwa kila jambo.
Sio tu kupata habari, bali wengi hawamfahamu hata kama habari zingesambaa sana bado wangeuliza ndio nanai?N kweli mr
Wa2 weng hawakupata habar za mfaume..,,
cocochanel acha dharau bana, dogo mfaume humfahamu kweliSahamani kukuuliza Dogo Mfaume alikuwa ni nani?
Wewe mbona sikuona uzi wako humu kuhusu dogo mfaume kufariki? Jiulize!Watanzania kwa unafiki tu hatujambo, sishangai ndio maana hatuendelei.
Leo nimeshangaa sana baada ya kuingia kwenye mitandao ya kijamii nakuta watu wengi wakilia na kuonyesha kuumia sana na kifo cha Ivan, kwanza niseme tu mimi nilikua simjui huyo ndugu, nikataka kujua ni mtu wa wapi nikaambiwa ni mganda alikua mume wa mke wa Daimondi.
Nikauliza kama ni msanii labda wa muziki au maigizo nikaambiwa hapana ni social celebrity tu, anyway sina shida na hilo lakini kilichonishangaza ni kukuta watu kuonekana wameumia sana na kifo cha Ivan kuliko mtanzania mwenzao Dogo mfaume ambae amezikwa juzi na sikuona msanii yoyote ametupia picha ya dogo mfaume au basi kutoa pole.
Utashangaa kifo cha Ivan kimewaumiza sana watanzania kuliko mtanzania mwenzao aliefariki juzi tu hapa, na utashangaa kujua kua watanzania wameumia sana na kifo cha Ivan kuliko hata waganda.
Unafiki jambo baya sana.
Poza hata kdg ukali wa maneno mkuu basi[emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20]Hatupangiwi wa kumlilia
We endelea kumlilia huyo mfaume wako aliyekufa kwa matumizi ya ngada sisi tuache tumlilie Ivan
Maneno hayo ahh!![emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Kwani ivan akililiwa inakupunguzia nini wewe. Kwani yeye sio binadamu
Mkuu una wivu hadi kwa marehemu aisee
cocochanel acha dharau bana, dogo mfaume humfahamu kweli