Watanzania acheni unafiki, ina maana kifo cha Ivan kimewauma kuliko Dogo Mfaume?

Mkuu umeua aisee.
 
Mbona wewe Dogo Mfaume alivyofariki uku-post chochote hata humu JF?!

Alafu ukumnunulia mtu Bundle unaanzaje kuwapangia watu cha ku-post?!
 
NAona hapo chadema watenda hadi Uganda kufuatilia matumizi ya hela ya rambi rambi, maana ndio agenda yao siku hizi rambi rambil
 
Umenikumbusha kule uchagani kwetu na mapadri wa kanisa katoliki....Akifa maskini wataangalia vipengele vyooote mara oooohh hakua na ndoa sijui ni suria kaoa wake wawili cjui hakua anahudhuria kanisani yaani mizengwe kibao na mwisho unasikia padri hawezi kumzika labda jumuia....Sasa ngoja afe tajiri utasikia yule wake wawili lkn alifunga ndoa na mmoja ya wake zake au hata geneza lipelekwe kanisani...wacha pesa iitwe pesa bhana
 
Mawazo ya madikini huwa nikuwaombea mataji mabaya ukipata pesa utasikia huyo muuza ngada huyo jambazi huyo pesa za ndagu ma firimasoni.. Yotehayo nimawazo ya masikini leohii kilasiku masikini anatamani tajili afilisike. Yani inashangaza baada masikini atamani kuwa tajili yy anatamani matajiliwafilisike..mm nimeumia sana kwa kifo chahutu bwana mdogo ivani maana kaacha mtonyo mkubwa sana nawakati hayupo wa kuuangalia maana mkewe mwenyewe alishaolewa na mtu mwingine sasa atakaesimamia makampuniyake hadi watoto wake wakue ninani kama siyo haowatoto kuzulumiwa
 
Mkuu acha povu tulia tu! Maana ndo binadamu tulivyo. Mbona alivyofariki Lucky dube tulilia sana, hukuja humu kumwaga povu?
 
Aseeh mbona mimi nimehuzunika kwa misiba ya watu wote?? unafiki unatokea wapi sasa au mpaka tumposti
 
Uzuri kudadeki wote tutakufa uwe kabwela au tajiri maisha ubatili tu ndo raha yake hiyo
 
Tena si hayo tu tajiri hugawa ajira tajiri uwa ni mmoja wa watu waliowazidi masikini ktk suala la kuchangia taifa ktk nyanja ya kodi, lkn pia matajiri ni wachache kuliko masikini hiyo inamaana utajiri ni kipaji maalum
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Jf Bhanaa Ukija Na Uzi Jipange kina khadija kopa wamejaa humu bhasi tu

Sio kwa kumshushua Mtoa Uzi wawatu
 
Msiba ni msiba tu si mpaka uwe maarufu sote hali ni moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…