Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,160
- 3,368
Mkuu umeua aisee.Msiba wa tajiri unahudhuriwa na mpaka hata ambao hawakuwahi kumuona au kumjua siku za uhai wake..
Wakishapata bio fulani kafariki, yule mwenye sijui Hotel gani, sijui mwenye biashara gani alikuwaga anatembea na Vogue, VX V8 basi kila mtu atajipeleka msibani kwenda kuona ufahari na ibada na mahubiri marefuuuu.. Maskini akifa mambo yanaenda fasta fasta tu ufukiwe mambo yaishe..
Too sad aisee..