Tanzania kama Dunia inaondoka kwenye jela la kutegemea kazi za serikali. Kazi za serikali zunatakiwa ziwe za muhimu tu lakini kumekuwa na vijana wengi wanasubiri seeikali iwape kazi.
Nawajulisha amkeni na tafuteni kazi kwenye kampuni binafsi, anzisheni miradi kama kilimo au katafute kazi nje lakini uki subiri serikali utakufa masikini miaka ijayo. Teknologia itapunguza kazi za serikali na makampuni mengi yatakuwa yanaendeshwa kibiashara zaidi miaka ijayo.
Serikali inatakiwa kupinguza matumizi sio kuongeza hivyo wataleta teknologia ambayo itapunguza kazi nyingi sana mfano wizara tofauti zinaweza kuwa na accountant pamoja kwasababu teknologia ni moja na imekuwa sana ofisi zinaweza zikawa hizo hizo.
Kazi ya secretary sio muhimu wakati kuna AP za simu na computer za kufanya kila kitu. Hivyo kazi nyingi zitakuwa za miradi kama ujenzi n.k . Lakini kwenye kilimo na viwanda vidogo kuna uwezekano mkubwa kupata kazi.
Cha kushangaza vijana nao ni slow sana siku hizi unaweza kufanya kazi ya nchi nyingine mfano kuna kazi nchi za ulaya zinatoka kwa watu India au Ghana sasa kwanini vijana wetu wanashinda kwenye mitandao badala ya kutafuta kazi!