KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,625
- 89,385
Wanasema "Mali bila daftari huisha bila habari!".
Leo ngojeni niwachane watanzania wenzangu acheni kukaa kizwazwa!, kuna watu mmekaa humu kufuatilia nini kinajili nakusubiri upate taarifa mbaya kwa yale usiyoyapenda na usiempenda!.
Kama unayahitaji mabadiliko kwa namna hiyo ndugu saa inafanya hivi TIK TOK TIK TOK!.. namaanisha muda unaenda unayosubiria yabadilike kwa namna hiyo yatakubadilisha wewe!.
Acheni kutegemea mambo yakuhadaa, nchi inayohitaji mabadiliko ya kweli haiendi kwa kuhadaiwa!, pili msitegemee maendeleo ikiwa viongozi wenu wana fikra zakinyonyaji!, tatu nitanukuu msemo wa marehemu alisema hivi "yuko wapi huyo mjomba..?" lilikuwa ni swali ambalo maana yake huyo mjomba hayupo!.
tafsiri yake huyo mjomba wakulikomboa hilo taifa ni wewe mwenyewe!.
Sasa wewe kaa chekelea na kuendelea kusema sema nakutafuta habari mbaya mbaya ziwapate usiowapenda!, huko ni kudumaa ki fikra!.
Anaebadilisha nchi ni mwananchi mwenyewe!, najua wengine mnafata migongo inayodondosha fedha kwa nyuma ila na mnajua kabisa njia hiyo sio sahihi!, ila kwa muda huo ni sahihi kwako ila sio sahihi kwa kizazi chako kijacho!.
Badili fikra zako utaanza kuyaona mambo mengi tu katika muktadha mwengine kabisa na ndipo hapo utaanza kujua ufanye nini kwa wakati gani na kwanini ufanye wewe, kivipi na kwaajili yanini!.