Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Mimi nilijua demokrasia ni nini baada ya miaka fulani ya nyuma sana kufuatilia primaries za both republican and democratic
Kwanza unajiuliza hawa wote wanatoka chama kimoja kwanini wanapondana hivi hadi mambo ya kifamilia, it very nasty lakin wao wanaona ni kawaida na wanaita democrasia na huwezi ona wananchi wakiwaponda
Siku za karibuni kumekua na harakati za uchaguzi wa mwenyekiti wa chadema amejitokeza Tindu lisu ila wako baadhi ya CHADEMA wamemponda Lissu
Wako baadhi ya wananchi wananchi wameanza kuwaponda wanaomponda Lissu wengine wanaenda mbali
wanasema ni bora CCM iendelee kutawala hawa wote kwangu mimi ni wajinga na hawajui democrasia ni nini
Unapogombania nafasi kwenye siasa kupitia democrasia unatakiwa ujue yafuatayo;-

- Siasa ni mchezo wa kumchafua mwenzako ili wewe uonekane bora
- Ni wajibu wako kujibu mashambulizi ya ambaye unaogombea naye
- Kwenye siasa haushindani tu na mpinzania wako bali unashindana na wapambe wake, marafiki zake, chawa wake, mechepuko yake na familia yake
- Siasa ni kazi ya kipato kama zilivyonyingine kila mtu anaingia anajua atanufaikaje na mara nyingi ni siri kwake
- Siasa ni kama mchezo wa mpira uchaguzi ukiisha mnashikana, na kupongezana na maisha mengine yanaendelea
- Usiwe mtu wa kuweka vinyongo na chuki ukishika madaraka utawaumiza watu kwenye siasa kuwa mtu wa kupuuzia mtu
- Kwemye siasa cheo hetewi mezani unatakiwa ukipiganie na ukikipata ukilinde kwa gharama kubwa sana
- Kwenye siasa kutumia rushwa na uhuni mwingine ili mtu kushinda ni jambo la kawaida wala usishangae