Watanzania bana, msanii aingia matatani kisa ameigiza kuhusu Corona, yaani EDUTAINMENT

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Msanii wa kule Tanzania aliingia mtaani kwenye mjii mkuu wa Dodoma na kuanza kuhoji Watanzania waletewe COVID-19 ngapi, wote wamejibu vituko, ishara inayoonyesha jinsi gani Watz hawana uelewa wa hiki kitu, kunaye demu mrembo amesema waletewe COVID-19 kama elfu tano hivi.

Hili ni aina ya igizo linaloitwa EDUTAINMENT, yaani unaelimisha huku ukitumia utani, sasa jamaa ameamrishwa ajipeke kwa mkuu akajibu mashtaka.

Mkulu wa Tz alishasema hiki kitu kichukuliwe poa kwamba ni kaugonjwa na tusitishane, sasa msanii ameigiza kwa namna ya kupunguzia watu stress huku akisaidia kubaini uelewa wa hiki kitu, haja gani atiwe kwenye matatizo.

Wenzetu hukesha huku JF wakiisema Kenya lakini kwao huko ni balaa sana, yaani chochote hata utani wa mtaani kinakupeleka jela, kama ilivyo kwa Kim wa Korea Kaskazini.

https://www.jamiiforums.com/data/attachment-files/2020/04/2357096_VID_20200403_154115_205.mp4
 
Usipoyaona maajabu ya Musa utayaona ya firauni!

Yaani kwa hili hata baadhi ya viongozi hawaelewi janga lililo mbele yetu.

Wanaona nchi zingine kama vibwengo tu na wao ndio wanaoelewa zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilizan unatujuza habar ya maana Kama vile mumeamkaje mpaka leo namba isoma ngapi? Kumbe upuuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilizan unatujuza habar ya maana Kama vile mumeamkaje mpaka leo namba isoma ngapi? Kumbe upuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mumeamkaje? Hilo utajijua wewe na familia yako na haiwahusu JF.
Una akili kama DC Katambi! Huoni shida iko wapi hapo? Elimu imekosekana sio kwa wale walio hojiwa na Masanja pekee bali hata huyo DC ni mzigo pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenzetu hukesha huku JF wakiisema Kenya lakini kwao huko ni balaa sana, yaani chochote hata utani wa mtaani kinakupeleka jela, kama ilivyo kwa Kim wa Korea Kaskazini.
Utani kwenye corona?
Ndio maana mnalaza mgonjwa wa corona ICU na wagonjwa wengine
Wakenya mna matatizo sana!yaani.mtu anaumwa mpaka.anakufa ndio.mnagundua.ana Corona?
Vipi hao wagonjwa mliowachanganya.na.huyo mwenye corona?vipi madaktari?vipi manesi?waliomuhudumia huyo mgonjwa
 

Aibu sana kwa kweli, ilionyesha kwanza jinsi Watanzania wengi hawana elimu ya kuhusu hiki kirusi, hivyo huyo msanii amesaidia kubaini hilo, hamfai kumsulubisha, mlipaswa kumshukuru na kumpa kandarasi la kutoa elimu ya Corona kwa jamii akitumia ucheshi wake.
Tanzania ilitajwa kuwa miongoni wa mataifa ambayo raia wake hawana furaha hata kidogo, hili tukio la kumvuruga huyo msanii ni mfano wa jinsi mnaishi kwa dhiki.
 
Harafu wanakwambia vifaa vya kupimia vipo kila sehem wanafanya mass test ndio maana namba zinaongezeka kila cku kwa speed ,Sasa swali la kujiuliza mass test ilimkosaje kumpitia huyu mgonjwa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Harafu wanakwambia vifaa vya kupimia vipo kila sehem wanafanya mass test ndio maana namba zinaongezeka kila cku kwa speed ,Sasa swali la kujiuliza mass test ilimkosaje kumpitia huyu mgonjwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Uliambiwa mass test tunafanya Wakenya wote milioni hamsini kwa mpigo mmoja, Watanzania mna uelewa mdogo sana kwenye kila kitu, ndio maana kwenye hiyo video ya Masanja wengi mnasema mletewe COVID-19, yaani hapo ndio uelewa wa wengi wenu umefikia, asilimia kubwa hata nyie mliobahatika kuelimishwa na Wakenya kwenye mitandao kama hii bado bila bila.
 
Usiwaseme wabongo, kuna wabongo wengi tu wanajua what is comedy, sema viongozi wa serikali na CCM.

Wapumbavu sana.

Kuna video ya Islamic terrorists wanamtishia Magufuli inasambaa, sijasikia serikali kusema inawasaka.

Video ya comedian anafanya satire imepewa kipaumbele.

Bloody fools!

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Yaani wewe unamchukulia.serious comedian?
 
Nyie wenye ilmu ya corona.mnachapa raia bakora raia na kuua.kwa risasi
Mikenya bana wewe huyo comedian.kwako imekua hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…