MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Msanii wa kule Tanzania aliingia mtaani kwenye mjii mkuu wa Dodoma na kuanza kuhoji Watanzania waletewe COVID-19 ngapi, wote wamejibu vituko, ishara inayoonyesha jinsi gani Watz hawana uelewa wa hiki kitu, kunaye demu mrembo amesema waletewe COVID-19 kama elfu tano hivi.
Hili ni aina ya igizo linaloitwa EDUTAINMENT, yaani unaelimisha huku ukitumia utani, sasa jamaa ameamrishwa ajipeke kwa mkuu akajibu mashtaka.
Mkulu wa Tz alishasema hiki kitu kichukuliwe poa kwamba ni kaugonjwa na tusitishane, sasa msanii ameigiza kwa namna ya kupunguzia watu stress huku akisaidia kubaini uelewa wa hiki kitu, haja gani atiwe kwenye matatizo.
Wenzetu hukesha huku JF wakiisema Kenya lakini kwao huko ni balaa sana, yaani chochote hata utani wa mtaani kinakupeleka jela, kama ilivyo kwa Kim wa Korea Kaskazini.
https://www.jamiiforums.com/data/attachment-files/2020/04/2357096_VID_20200403_154115_205.mp4