MOSI,
Magereza mbalimbali nchini naamini wameanza kukarabati vyumba vya kulalia wafungwa na kuboresha miundo mbinu ya kuwadhibiti wanaoweza kuhatarisha usalama wa mazingira ya wafungwa sugu na wale wachochezi wasioitakia mema nchi ,wanazuka kama uyoga unapokaribia Uchaguzi mkuu ,inasemwa wapate sababu za kukubakiwa ukimbizi.
Inakuwaje kila unapokaribia Uchaguzi kuna badhi ya watu haswa viongozi wa upinzani huwaga wanasema maneno ya hovyo ni kwa nini wanayoyadai sasa hawakuyadai mara tu bada ya kumaliza uchaguzi mkuu uliopita miaka minne.
PILI,
Leo imebaki miesi michache kuanza kampeni hawa viongozi ndio wamejua ? Kama hili na lile halipo sawa ?
Basi wananchi na nyinyi wapiga debe amkeni ,watu wana mahesabu yao ,wanakimbilia kwenye balozi wanajificha wanaondoshwa ,hakuna viongozi wajanja kama wa Chadema.