Watanzania Chukueni hatua wenyewe acheni kutegemea chama kuwakomboa

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Nawaambia Chukueni hatua

Anzeni na watu mnaoishi nao mtaani

Chukueni hatua za kimya kimya baada ya miezi 3 mbele wahuni wataelewa

Kama Kuna biashara ya muhuni msinunie

Acheni kupanda hayo mabasi ya mafisadi

Kama ni mwalimu mtoto wa polisi muache afeli

Kama ni doctor akija fyeka
 
Waanze kutembea kwa miguu sio? Au wapande chadema trans?
 
Habari! Nilisema nitakuwa nachangia na mimi mawazo yangu, nipo hapa sasa.

Kuna vitu vichache naomba kuandika. Unachosema technically ni sahihi, personal responsibility ni muhimu sana. Kuna vitu ukisubiri mtu mwingine akusaidie utabaki unaelea milele lakini tusikose utu hata kama sisi hatuonewi huruma.

Mimi ninakumbuka nilisikia mahali mwanasiasa mkongwe mmarekani alimpa ushauri kijana aliyekuwa ana ndoto za kuingia kwenye siasa na kumwambia siasa sio sehemu ya kuenda kutengeneza hela, jitafutie maisha kwanza halafu ndio uende ukasaidie jamii. Alimwambia hivyo kwasababu ukienda wakati bado una shida au una njaa, shughuli...

Mimi ni mwanahistoria na nimetumia miaka mingi nikifanya utafiti kuhusu uhusiano wa bara la Ulaya na bara la Afrika kuanzia hata kabla ya uanzilishaji wa biashara za utumwa mpaka sasa hivi na shughuli za uwekezaji kwa hiyo nimejikuta nikijifunza kuhusu historia za nchi tofauti Afrika na pia za huko kwenye bahari ya Atlantic (the Caribbean).

Naomba niweke quote chache hapa kutoka kitabu kinachoitwa The Middle Passage: Impressions of Five Colonial Societies kilichoandikwa na V.S. Naipaul (alishinda the Nobel Prize in Literature 2001 kama baba yetu Professor Abdulrazak Gurnah 2021).

Haya maneno ni muhimu kwasababu yanatuonyesha jinsi nchi yetu inavyofanana zingine zilizokuwa chini ya wakoloni na kwanini hali zetu kwa mambo mengi hufanana. V.S. Naipaul aliandika kitabu hiki kwasababu alipewa hela na aliyekuwa Waziri Mkuu wa Trinidad and Tobago, Dr. Eric Williams, kufanya utafiti kuhushu maisha katika visiwa tofauti huko kwenye miaka ya 60 wakati nchi nyingi zilivyoanza kupata uhuru.

Visiwa alivyotembelea ni Trinidad and Tobago, Guyana, Suriname, Martinique, na Jamaica.

Nitaweka quote kwenye kiingereza kwanza halafu nitatafsiri. Nikisomaga hizi quote roho yangu hutulia, najua nchi yetu haina laana yoyote, shida zetu zipo pengine pia na kwasababu hizo hizo. Kwa ambao mna uwezo kutafsiri vizuri zaidi naomba mnisaidie kwenye comments (I am taking a bit of creative licence with some of these translations for the sake of time).

Again and again one comes back to the main degrading fact of the colonial society, it never required efficiency, it never required quality, and these things, because unrequired, become undesirable (53)

Hua tunarudi hapo hapo kwa jambo la kuzalilisha kuhusu jamii zilizokuwa chini ya ukoloni, hazikuhitaji ufanisi, hazikuhitaji ubora, na hivi vitu kwasababu havikuhitajika, vikajakuwa vitu visivyo thaminiwa.

Hivi vitu havikuthaminiwa kwasababu wakati wa ukoloni, thamani za nchi zetu (arguably until today) zilikuwa chini ya ardhi (malighafi) zilizotumika kwenye uzalishaji viwandani mwao.

(The colonial system produced a world) where the weak are humiliated; where the powerful never appeared and were beyond reach; were no one was allowed any dignity and everyone had to impose himself; an uncreative society, where war was the only profession (70)

(Mfumo wa kikoloni ulitengenza jamii ambazo) wadhaifu hudhalilishwa; wenye nguvu hawaguswi; hamna mtu aliruhusiwa kuwa na heshima zake na kila mtu ilibidi alazimishe vitu; jamii bila ubunifu, ambapo (kupiga) vita ndio iliyokuwa kazi pekee.

An efficient civil service is in some ways a considerate civil service (71)

Utumishi wa umma bora kwa namna flani ni utumishi wa umma unaozingatia utu kwa wanachi.

*** Naomba naomba naomba watu waache kutumia matusi JF. Najua frustrations ni nyingi hapa nchini, lakini baki na nidhamu, mtu unaweza ukawa umeandika kitu cha muhimu sana na mtu anakuchokoza ili ukasirike, utukane, na pointi yako isaulike kabisa. Usibabaike, baki na misimamo uliyonayo na vitu unavyotaka kusema. Watu kuwa wagomvi wa kupita kiasi na kutukuna wenzao asubuhi, mchana, jioni sio utamaduni wa kitanzania.
 
Nawaambia Chukueni hatua

Anzeni na watu mnaoishi nao mtaani

Chukueni hatua za kimya kimya baada ya miezi 3 mbele wahuni wataelewa

Kama Kuna biashara ya muhuni msinunie

Acheni kupanda hayo mabasi ya mafisadi

Kama ni mwalimu mtoto wa polisi muache afeli

Kama ni doctor akija fyeka
Habari! Nilisema nitakuwa nachangia na mimi mawazo yangu, nipo hapa sasa.

Kuna vitu vichache naomba kuandika. Unachosema technically ni sahihi, personal responsibility ni muhimu sana. Kuna vitu ukisubiri mtu mwingine akusaidie utabaki unaelea milele lakini tusikose utu hata kama sisi hatuonewi huruma.

Mimi hukumbuka nilisikia mahali mwanasiasa mkongwe mmarekani alimpa ushauri kijana aliyekuwa ana ndoto za kuingia kwenye siasa na kumwambia siasa sio sehemu ya kuenda kutengeneza hela, jitafutie maisha kwanza halafu ndio uende ukasaidie jamii. Alimwambia hivyo kwasababu ukienda wakati bado una shida au una njaa, shughuli...

Mimi ni mwanahistoria na nimetumia miaka mingi nikifanya utafiti kuhusu uhusiano wa bara la Ulaya na bara la Afrika kuanzia hata kabla ya uanzilishaji wa biashara za utumwa mpaka sasa hivi na shughuli za uwekezaji kwa hiyo nimejikuta nikijifunza kuhusu historia za nchi tofauti Afrika na pia za huko kwenye bahari ya Atlantic (the Caribbean).

Naomba niweke quote chache hapa kutoka kitabu kinachoitwa The Middle Passage: Impressions of Five Colonial Societies kilichoandikwa na V.S. Naipaul (alishinda the Nobel Prize in Literature 2001 kama baba yetu Professor Abdulrazak Gurnah 2021).

Haya maneno ni muhimu kwasababu yanatuonyesha jinsi nchi yetu inavyofanana zingine zilizokuwa chini ya wakoloni na kwanini hali zetu kwa mambo mengi hufanana. V.S. Naipaul aliandika kitabu hiki kwasababu alipewa hela na aliyekuwa Waziri Mkuu wa Trinidad and Tobago, Dr. Eric Williams, kufanya utafiti kuhushu maisha katika visiwa tofauti huko kwenye miaka ya 60 wakati nchi nyingi zilivyoanza kupata uhuru.

Visiwa alivyotembelea ni Trinidad and Tobago, Guyana, Suriname, Martinique, na Jamaica.

Nitaweka quote kwenye kiingereza kwanza halafu nitatafsiri. Nikisomaga hizi quote roho yangu hutulia, najua nchi yetu haina laana yoyote, shida zetu zipo pengine pia na kwasababu hizo hizo. Kwa ambao mna uwezo kutafsiri vizuri zaidi naomba mnisaidie kwenye comments (I am taking a bit of creative licence with some of these translations for the sake of time).

Again and again one comes back to the main degrading fact of the colonial society, it never required efficiency, it never required quality, and these things, because unrequired, become undesirable (53)

Hua tunarudi hapo hapo kwa jambo la kuzalilisha kuhusu jamii zilizokuwa chini ya ukoloni, hazikuhitaji ufanisi, hazikuhitaji ubora, na hivi vitu kwasababu havikuhitajika, vikajakuwa vitu visivyo thaminiwa.

Hivi vitu havikuthaminiwa kwasababu wakati wa ukoloni, thamani za nchi zetu (arguably until today) zilikuwa chini ya ardhi (malighafi) zilizotumika kwenye uzalishaji viwandani mwao.

(The colonial system produced a world) where the weak are humiliated; where the powerful never appeared and were beyond reach; were no one was allowed any dignity and everyone had to impose himself; an uncreative society, where war was the only profession (70)

(Mfumo wa kikoloni ulitengenza jamii ambazo) wadhaifu hudhalilishwa; wenye nguvu hawaguswi; hamna mtu aliruhusiwa kuwa na heshima zake na kila mtu ilibidi alazimishe vitu; jamii bila ubunifu, ambapo (kupiga) vita ndio iliyokuwa kazi pekee.

An efficient civil service is in some ways a considerate civil service (71)

Utumishi wa umma bora kwa namna flani ni utumishi wa umma unaozingatia utu kwa wanachi.

*** Naomba naomba naomba watu waache kutumia matusi JF. Najua frustrations ni nyingi hapa nchini, lakini baki na nidhamu, mtu unaweza ukawa umeandika kitu cha muhimu sana na mtu anakuchokoza ili ukasirike, utukane, na pointi yako isaulike kabisa. Usibabaike, baki na misimamo uliyonayo na vitu unavyotaka kusema. Watu kuwa wagomvi wa kupita kiasi na kutukuna wenzio asubuhi, mchana, jioni sio utamaduni wa kitanzania.
 
Attachments

  • 5781825-51775523b226d8414338068b2d50cfec.mp4
    3 MB
Back
Top Bottom