johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kama zilikaa kimya Kama mjusi kabanwa mlango huku wakichungulia dirishani alipouwawa Gadaffi ndipo nilipoudharau umoja wa Africa nikaona ni sawa tu na bunge la ndugai.Hali kwa umoja wao wangeweza kumuokoa Gadaffi. Umoja wa Africa ni sawa na kijiwe cha kahawa mkishakunywa mnatawanyika.Alieuawa ni mtu mweusi lakini naona nchi za wazungu ndio ziko mstari wa mbele kwenye maandamano, na kupiga kelele. Nchi za kiafrika kimyaaaa....
Amani ni Nini? Mbona Tanzania 🇹🇿 ni nchi ya nne kwa kukosa furaha? Amani na furaha vinaenda pamojaTanzania tuna amani tele
Unapata hadi muda wa kupost unasema Tanzania hakuna amani? Kweli shukrani ya punda mateke.Amani ni Nini? Mbona Tanzania 🇹🇿 ni nchi ya nne kwa kukosa furaha? Amani na furaha vinaenda pamoja
Hujajibu swali. Swali linasema AMANI NI NINI?Unapata hadi muda wa kupost unasema Tanzania hakuna amani? Kweli shukrani ya punda mateke.
Upo dunia ipi mkuuGeorge Floyd ni nani
Upo dunia ipi mkuu
Tunaogopa mkuu, huku wakina Daud,Akwili, Imrani waliuawa na hakuna kilichotokeaAlieuawa ni mtu mweusi lakini naona nchi za wazungu ndio ziko mstari wa mbele kwenye maandamano, na kupiga kelele. Nchi za kiafrika kimyaaaa....
OKWI BONA NA FELIX SUNZU kwanza nimekumis sana jukwaaani, tunapishana sana, na pia huyu mleta mada ni MATAGA , ila mgeni, yeye anataka haki za wamarekani ila za watanzania hana habari, kwenye vitabu vya riwaya huyu angeitwa ZUZU ila kwa jukwa hili sijui watamuitajemleta mada umejifunza nini ukihusisha na mauaji ya kisiasa hapa Tz?
Hali ya kutokuwa na vitaHujajibu swali. Swali linasema AMANI NI NINI?