Watanzania fuatilieni mazishi ya George Floyd kuna ujumbe muhimu unatolewa kwa wanasiasa duniani kote!

Enhee, alikufa lini, aliishi wapi na alikuwa ni nani huyo George Floyd.
Fuatilia nyuzi humu zipo nyingi tu kumhusu huyo mutu, au
Nenda you tube mzee baba utaona kila kitu humo
 
Fuatilia nyuzi humu zipo nyingi tu kumhusu huyo mutu, au
Nenda you tube mzee baba utaona kila kitu humo

Mzee Mama, mtandao wa Youtube hapa Kihangi, Mbinga, kupatikana ni shida. Nashindwa kumfuatilia huyo mtu.

Na majirani zangu na hata Afsa Mtendaji nilikuwa napiga nae stori hajui Mheshimiwa George Floyd ni nani.
 
Tukio la mazishi liko live Al Jazeera, BBC na Sky news.

Lugha ni English na lugha ya alama.

Kama una nafasi jaribu kufuatilia ni tukio la kusisimua kwa wale wenye kuthamini utu wa binadamu.

Up dates;
Hili linakufaa wewe na ule ukoo wa panyabuku na nduguze nguchiro
 
George Floyd?? Si mcheza xxx huyo jamaa sasa tutajifunza Nini??
 
Amani ni Nini? Mbona Tanzania [emoji1241] ni nchi ya nne kwa kukosa furaha? Amani na furaha vinaenda pamoja
Hizo tafiti kafanya nani kama ni mashirika toka nje ya afrika sio ushahidi huo
Hawana jema hao ndiyo waliomuua gadafi
Bwana bujibuji utulie kidogo
 
Mzee Mama, mtandao wa Youtube hapa Kihangi, Mbinga, kupatikana ni shida. Nashindwa kumfuatilia huyo mtu.

Na majirani zangu na hata Afsa Mtendaji nilikuwa napiga nae stori hajui Mheshimiwa George Floyd ni nani.
Tajiju sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…