The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Iko hv huku kwetu zipo baadhi ya shule ambazo ni za English medium so kwenye bandiko lao huwa wanaandika wanahitaji mtu ambaye amesoma English medium kuanzia chini kabisa, ss iweje leo liwe tangazo eti waliosoma Kenya wakati hapa kuna shule za English medium zenye gharama kuliko shule za kishua za huko kwenu do you get the point you Kunyan?Ujinga ni pale unauliza swali hadi unajijibu na bado unasumbua tu! You've already said huenda picha imetengenezwa na mkenya mwenye ako na shule TZ. Does that change the fact that the poster is in Tanzania?
Kuna number za simu za kitanzania zimeandikwa hapo chini. Piga simu uulize haya maswali yote. I hope majibu utayapata yakukuridhishaIko hv huku kwetu zipo baadhi ya shule ambazo ni za English medium so kwenye bandiko lao huwa wanaandika wanahitaji mtu ambaye amesoma English medium kuanzia chini kabisa, ss iweje leo liwe tangazo eti waliosoma Kenya wakati hapa kuna shule za English medium zenye gharama kuliko shule za kishua za huko kwenu do you get the point you Kunyan?
Yn ww ni fala kabisa, u failed to figure out that hilo tangazo lipo Kenya na ni propaganda, eti "tunatangaza nafasi za kazi ya ualimu kwa Watz" kwahiyo hapo ni wapi? Then "shule ipo Dar es salaam"Kuna number za simu za kitanzania zimeandikwa hapo chini. Piga simu uulize haya maswali yote. I hope majibu utayapata yakukuridhisha
Wanapenda kuongoza sana hawa mburukenge sasa wanaongoza kwa umasikini na njaaAsante na ninyi naona pia mmewapita Zimbabwe, hii kasi mnayochomoka nayo ni hatari tupu
Kenya Worse Than Zimbabwe in Extreme Poverty - World Bank
Zimbabwe has 23 percent of its population living in extreme poverty.www.kenyans.co.ke
The details are in the picture bongolala. What more evidence do you need apart from the written words and even the Tanzania phone numbers? Ama ulitaka picha itoke black and white ndio tujue hapo ni Tanzania?
Kuna number za simu za kitanzania zimeandikwa hapo chini. Piga simu uulize haya maswali yote. I hope majibu utayapata yakukuridhisha
You only need that code when you are calling from outside Tanzania. Usijifanye hujui hiliKwani hapo umeona +255 unavyosema namba za kiTanzania?
Kwani Dar es Salaam iko Ethiopia?Wewe badala ya kuwa na kichwa, kumbe una embe. Kwa hiyo wewe kuona neno Dar es Salaam, tayari liko Tanzania.
Kwani Dar es Salaam iko Ethiopia?
You only need that code when you are calling from outside Tanzania. Usijifanye hujui hili
Ccm tena [emoji1787], mkishindwa hoja mnaunganaga na nyumbu, na bado, uwekezaji wa chato haujafikia hata robo ya uwekezaji ulofanyika dodoma, etc. Ila sababu ni nyumbu, sishangai mkipataja taja, chato.Naona umeamua kutokelezea na akili za makada was sisiemu. Bure kabisa, eti uchumi wa Kenya haukui? Tena Kenya inaenda kuwapiga double kwenye GDP. Miradi mmetekeleza mingapi hadi ikaisha ukilinganisha na Kenya? Umesahau zile 1.5T alizotafuna jiwe? Hebu rudi Lumumba ukaimbe sisiemu mbere kwa mbere ukimsifia Jiwe kwa miradi yake mikubwa ya maendeleo kule jamhuri mpya ya Chato.
So hapo ni one of those Scandinavian countries?? π π Kiswahili kitukuzweHow do you know if those are Tanzanian numbers?
Coz I in on of Scandinavian countries using the nr of the same nature.
Basi liko Kenya π π Happy now?Wewe badala ya mabega yako kubeba kichwa yaani akili. Umebeba embe kubwa.
Hakuna mtu anayebisha kuhusu hayo maneno. Swali ambalo unajibu. Tuoneshe hilo tambala kama liko Tanzania.
Basi liko Kenya π π Happy now?
I understand you. You really don't want to accept this but your denial won't change anything bongolala. Tanzanians study in Kenya right from primary school level. Mimi nimesoma nao primary and secondary schools na kuna wengi tu pia wako colleges huku. I remember I had a very good friend in high school from Shinyanga named Maduhu. It's not my duty to force or convince you to accept this but facts will always remain facts. Tunasomesha walimu wenu and we'll continue doing so as long as they choose to come hereYou'll also needed to prove if the place is really in Kenya.
Liprofesa lilitema madini mpaka manyang'au yakabaki yanapiga makofi huku yameduwaa.... haha
The level of that Kiswahili was pure gold!
Minyang'au ilipagawa venye profesa alivyoipora na kuitawala "show" nzima ya BBI.
Wao wametengeneza chanjo! Angalau wamejaribu.View attachment 1692233
Mkuu unajua ipo tofauti ya mtu aliyehudhuria Chuo na anayeenda kupata masomo.
View attachment 1692234
Sasa ikiwa hawa ndio wasomi wenu na je Makajamba wa Buza wako vipi upstairs?
Tunakujua wewe ni nyang'au.Wa-Tanzania tujifunze Kingereza au ki-franch vile au lugha nyingine yeyote ya mataifa makubwa kifasaha kwani ni moja ya Taaluma vile vile unaweza pata kazi kirahisi sn na kujiamini vilivyo.