The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Iko hv huku kwetu zipo baadhi ya shule ambazo ni za English medium so kwenye bandiko lao huwa wanaandika wanahitaji mtu ambaye amesoma English medium kuanzia chini kabisa, ss iweje leo liwe tangazo eti waliosoma Kenya wakati hapa kuna shule za English medium zenye gharama kuliko shule za kishua za huko kwenu do you get the point you Kunyan?Ujinga ni pale unauliza swali hadi unajijibu na bado unasumbua tu! You've already said huenda picha imetengenezwa na mkenya mwenye ako na shule TZ. Does that change the fact that the poster is in Tanzania?