Field Marshall 11
JF-Expert Member
- Nov 28, 2024
- 1,018
- 1,717
Nimesikia kauli ya Samia, ambaye alijitangaza urais kwa nguvu, halafu anatukebehi kutoa pole kwa "tukio" yaani sijaona mtu mbumbumbu kama Samia na her cabal, wametuteka, kutesa, kubaka, kulawiti na baadaye kutuua.
Kama hiyo haitoshi, serikali ya akina Samia na wenzake imehusika na kupanga na kuiba kura bila aibu, kufungia wapinzani wenzake.
Hivi unamfungia hadi Luhaga Mpina? Kweli CCM na serikali yake mna uoga wa ajabu.
Mwaka 2021, Samia alisema kungekuwa na uchaguzi wa haki hata kama angeshindwa, ameshindwa hata kutimiza ahadi zake, kamuogopa Lissu, kamfunga, kamuogopa Mpina, akamtumia Mwanasheria asiye na elimu ya kutosha kumuondoa kwenye kugombea, akatumia majaji feki kama hao Mwambigele, Mwanga kuifungia CHADEMA isifanye siasa, kwa kiasi cha kijinga, eti mgawanyo wa mali, hivi vyama vya siasa vipo kwa ajili ya kugawana mali? Mbona CCM hatujasikia wakigawana mali?
Fast forward, uchaguzi huu ulikuwa na mgombea mmoja kinyume na matarajio, lakini hizi tulikuwa tunajuaga, ni mbinu za hao CCM, kama ilivyotokea mwanzo, kuonea CHADEMA kwa kuwazuia wasishiriki uchaguzi, wakati wa Magufuli na Polepole, walifanya hivi hivi, kukataa kuwaapisha mawakala wa CHADEMA au wakiingia wanawatoa nje na wao makada wa CCM kujaza kura zilizopigwa kwa Samia kwenye maboksi (kama tulivyoona malori yenye balot paper ambazo tayari zimepigwa na wasimamizi wengine wakitiki sehemu ya Samia).
Yote hayo aliyoyafanya yapo wazi kwenye video za wazi, ndiyo maana Samia dhamira inamshtaki. Hawa wamezoea wizi bila hata aibu
Leo huyo Samia anatuambia kuwa hao vijana waliokamatwa kwa kufuata mkumbo, waachiwe, walifuata mkumbo gani, ina maana anatuona sisi watanzania ni mbumbumbu kama yeye na hao wenzake?
Sisi tunatafuta haki zetu, hatutaki kuonewa kuendelea kuuawa (kuna habari kuwa utekaji wa vijana unaendelea kwa nguvu kubwa, target kubwa ni vijana wa miaka chini ya 20 na zaidi ya hapo).
Samia anasema serikali itasaidia mazishi ya hao vijana, anasema pia maiti zitolewe, kwani miili walizichukua za nini? Kwa nini familia zilinyimwa miili ya wapendwa, walitaka kuzifanya nini?
Na wale maelfu waliopotea ambao wengine wamezikwa Mabwe pande na kwenye misitu mingine? Kwa nini Polisi wamezika bila ridhaa za ndugu? Hii serikali ya Tanzania na chama cha CCM wana tabia ya kutudharau watanzania. Eti Samia anasema kuwa serikali itagharimia mazishi?
Hivi huyo Samia ana akili kweli? Nani alimwambia kuwa tunahitaji kufanyiwa maziko? Tunataka vijana wetu wakiwa wazima, na kama wameuawa, familia zilipwe mabilioni ya fedha, maisha ya watu yana value. Kwa sababu wameona umaskini wa Tanzania wanatuona ni wajinga ndiyo maana hawajali.
Miaka ya nyuma walimuua Akwilina Akwilina na baadaye wakampa maziko, bila kufidia familia, wakaidanganya danganya, yaani hawaoni wazazi walipopata shida kuwalea watoto wao. Watatuambia Mungu alimchukua Akwelina… kumbe Polisi ndiyo waliochukua roho yake. Tunadanganywa!
Hatukubali kumsikia Samia tena, amekosa uadilifu, ameendeleza wizi na mauaji ya watu hasa vijana wasio na hatia, kaajiapisha wakati hakushinda.