Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
song la kiswazi lililojaa pozi za kibeyonce......muziki unataka timing.cheki snura hit moja tu la chura sasa hivi anazunguka nchi nzima kupiga show japo ni za buku tano tano kiingilio but si haba teh teh teh'''Naomba unirogee''' song la kiswaz kabisa
sasa navy kenzo hiyo kamatia chini chorus peke yake ndo ya kiswahili ila verse zote zina lugha ngeni tu nafikiri ni melody kiukweli mziki hauna lugha pia kwa V money ni suala la wakati tu maana hata kina nahreel wana nyimbo nyingi hko nyumaKinachomfelisha ni uzungu tu hakuna kingine, hakuna msanii aliyewahi kutoboa bongo kwa swaga za kizungu, lazima ajue anadeal na watu gani. Hata bwanaake Jux hawezi kutoboa bongo kwa aina ile ya mziki anayoifanya, na uhakika hata Shilole mziki umemnufaisha kuliko Vannesa, ni kwakuwa mziki wake unaendana na watanzania japo kipaji chake hamfikii hata robo Vannesa. Navy Kenzo na wenyewe walikuwa wazungu sana, ila tangu wametoa kamata chini wamefanikiwa kuturoga wabongo, sahvi wanapiga show kila wiki, abadilike kama anataka kufanikiwa kwny mziki, sio anatoa audio ya kiswazi ila video zimejaa uzungu, ataendelea kusubiri sana
Lakini una mahadhi na asili kutoka na mahali na hadhira husika.....ndio maana kila jamii ina aina ya mziki wake unaowatofautisha na jamii zingine......
Ukipigwa mziki wenye asili ya Caribean kila mtu atajua....
Ukipigwa mziki wenye mahadhi ya kiNigeria kila mtu atafahamu.......hata hao wasanii wa africa magharibi wanatamba ulimwenguni kwa kupiga miziki yenye asili yao kuanzia ala za muziki mpaka aina ya uimbaji.....
Lakini unapojaribu kuuleta aina ya mziki mpya kwenye jamii ambayo tayari kuna aina ya muziki imeshaipokea na kuufurahia lazima muitikio wa mziki huo uwe mdogo kwenye jamii hiyo....[/QUOT
mahadhi anayofanya ya Vanessa sio mapya hapa bongo chunguza hata miziki ya kina unique sisters haina tofauti na ya V hili ni suala la muda tu atatoka Ila pia the bongofleva game is fucked up mashabiki wanalazimishwa kuamini mziki Wa aina flani ndio target sokoni
Wimbo wa kiswazi sawa, video kali sana ila 'story line' ya video imekaa kizungu mno..'''Naomba unirogee''' song la kiswaz kabisa
Wamesahau kuwa wamecheza sana miziki ya kikongo, reggae na wanaendelea kusikiliza miziki ya àkina Rihanna na wanaija ingawa lugha sio kiswahili na wanaipenda.mziki hauna lugha jamaa
Hivi kwaito na beat za naija anazotumia Diamond na wenzake asili yake ni Tz!? Ungesema mchiriku au singeli ningeelewa. Wote wanaiga tu.Lakini una mahadhi na asili kutoka na mahali na hadhira husika.....ndio maana kila jamii ina aina ya mziki wake unaowatofautisha na jamii zingine......
Ukipigwa mziki wenye asili ya Caribean kila mtu atajua....
Ukipigwa mziki wenye mahadhi ya kiNigeria kila mtu atafahamu.......hata hao wasanii wa africa magharibi wanatamba ulimwenguni kwa kupiga miziki yenye asili yao kuanzia ala za muziki mpaka aina ya uimbaji.....
Lakini unapojaribu kuuleta aina ya mziki mpya kwenye jamii ambayo tayari kuna aina ya muziki imeshaipokea na kuufurahia lazima muitikio wa mziki huo uwe mdogo kwenye jamii hiyo....
Hivi kwaito na beat za naija anazotumia Diamond na wenzake asili yake ni Tz!? Ungesema mchiriku au singeli ningeelewa. Wote wanaiga tu.
Vionjo vya kiTz ni vipi!?Ukiutazama au kuusikiliza muziki Diamond ni lazima aweke vionjo vya kiTZ....
Vionjo vya kiTz ni vipi!?