Watanzania hatuna mtetezi. Kampuni za simu zinafanya zitakavyo

Watanzania hatuna mtetezi. Kampuni za simu zinafanya zitakavyo

mjukuum

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2014
Posts
5,258
Reaction score
2,842
Niseme wazi hili jambo wabongo tumetelekezwa hatuna mtu wa kukemea unyama unaofanywa juu yetu.

Tigo wamebadilisha vifurushi kwa wiki elfu tano inakuwa gb 2.7 badala ya gb 3 na watu wanaotakiwa kututetea wamenyamaza kabisa.

Dah nawaza nakosa majibu
 
Mtetezi yupo sema hayupo upande wako.

Yaani ukiweza kuvuna pasipo kupanda fanya hivyo la hauwezi vumilia na familia yako mpaka siku unawaachia dunia waendelee.

Ushauri wangu kwako, na wewe pambana uingize kizazi chako kwenye siasa, kutusua ni simple sana, mimi najuta mzee wangu na uliwatan wake hakunipa nafasi kwenye siasa mpaka namfunika shuka ya mwisho ya udongo.
 
Dah nimeshangaa sana, maana mm ndiyo kifurushi changu nanunuaga hicho. Nimejaribu kununua jioni hii nakuta 2.7gb nikachoka nikawa sina namna ikabidi ninunue tu kishingo upande. Yaani wanabidilisha tu wanavyojisikia bila hata kutoa taarifa, hii mbaya sana. Kwa mwendo huu tutatoboa kweli, huku matozo kila mahali, huku mavifurushi
 
Bbu yule shetani alikwapua sana pesa za hao jamaa mama kawaachia warudishe pesa zao tulia dawa ituingie Bei za chuma wiki hii zimeshuka kma zamani baada ya kurudisha pesa zao wameshusha Bei bidhaa
 
Mtetezi yupo sema hayupo upande wako.

Yaani ukiweza kuvuna pasipo kupanda fanya hivyo la hauwezi vumilia na familia yako mpaka siku unawaachia dunia waendelee.

Ushauri wangu kwako, na wewe pambana uingize kizazi chako kwenye siasa, kutusua ni simple sana, mimi najuta mzee wangu wa uliwatan wake hakunipa nafasi kwenye siasa mpaka namfunika shuka ya mwisho ya udongo.
Tena umeongea kweli yaani hata wasomi kabisa wanakimbilia siasa kweli
 
Niseme wazi hili jambo wabongo tumetelekezwa hatuna mtu wa kukemea unyama unaofanywa juu yetu.

Tigo wamebadilisha vifurushi kwa wiki elfu tano inakuwa gb 2.7 badala ya gb 3 na watu wanaotakiwa kututetea wamenyamaza kabisa.

Dah nawaza nakosa majibu
Hao wanaokukamua ndio wenye hisa huko, wewe unawataka wakutetee dhidi yao! Athubutuu.
 
IMG-20220723-WA0044.jpg
 
Niseme wazi hili jambo wabongo tumetelekezwa hatuna mtu wa kukemea unyama unaofanywa juu yetu.

Tigo wamebadilisha vifurushi kwa wiki elfu tano inakuwa gb 2.7 badala ya gb 3 na watu wanaotakiwa kututetea wamenyamaza kabisa.

Dah nawaza nakosa majibu
tatizo ni pale walipofikiri kila anae ingia kwenye internet basi anaenda kutazama ngono bila kujali kuna wanaoingia kusoma na kufanya biashara,
 
Zamani nilikuwa naumia kama wewe.

Badae nikaona nisitoe huduma zote kwa kampuni 1 tu.

Internet nachukua Smile, Dakika nachukua Vodacom na sms nachukua Tigo.

Smile kidogo wapo stable kwenye huduma zao. Kwa mwaka wanaweza badilisha vufurushi mara 1 au 2. Na wanatoa offer kibao tu.
 
Ni ngumu kupata mtetezi ktk hili japo linajulikana hadi kwa wakuu wote.
Anyway, The beautiful one' is not yet born
 
Mtetezi yupo sema hayupo upande wako.

Yaani ukiweza kuvuna pasipo kupanda fanya hivyo la hauwezi vumilia na familia yako mpaka siku unawaachia dunia waendelee.

Ushauri wangu kwako, na wewe pambana uingize kizazi chako kwenye siasa, kutusua ni simple sana, mimi najuta mzee wangu ba uliwatan wake hakunipa nafasi kwenye siasa mpaka namfunika shuka ya mwisho ya udongo.
Sasa wote tukiwa wanasiasa kada zingine nani atabaki?
 
Back
Top Bottom