Watanzania hawana adabu kumsema Rais!

we kweli ndio MPUUUZIIII..mimi binafsi naona watu wote huku ndani ya jamii forum tukusamehe bure maana umetumwa kuongea upuuzi kama Makamba. unataka watu wamtukuze hata akifanya makosa, na unaposema sisi ndio tulimpigia kura 2005 inawezekana lakini tunamsema maana alitudanganya.

he used deception kuingia hapo alipo.na unasema inapaswa tusiongee vibaya kuhusu wakuu. how can you talk about the Bible or Quran without mentioning Jesus or God/Allah.

unataka tuweke majina hadharani, Qures, Lipumba, Salim Ahmed na wengine wengi wameweka majina yao, wao wamesimama hadharani na kusema hafai, you idiot.

we kama si mpuuuzi basi ni mjinga..binafsi nimekusamehe mara sabini.mpuuzi
 
Tunaelekea kubaya. China? North Korea? Eritria? Ndie nchi hazina freedom of expression.
Its sad tuna wa Tanzania wenzetu kama huyo.
Kama una akili, angalia nani kati yetu kakubaliana nawewe?
 
Na wewe Mwanakijiji acha kuwapa THANKS wendawazimu hawa. Watajiona wameandika la maana.
nimecheka saaaana mkuu wangu.
unajua ukitaka mambo yakunyookee muogope mpumbavu/mjinga na ujitenge naye.

hawa jamaa wametumwa hapa kuflood jukwaa tusijadili mambo kuntu ili kusemezana na ujinga wao tu. shwain
 
Na shangaa sana Watanzania ni watu waajabu sana, ukimkosoa kiongozi kama unajulikana utatafutwa na atimae kubambikiwa kesi ya kizushi... Mimi ni member kwenye page Obama Facebook, juzi aliwajulisha Wamarekani kuhusu mpango wake wa bima ya afya cha kuchangaza ni kwamba baadhi ya watu walimtukana sana hadi wengine kumuita"shoga" na matusi mengine ya kutisha, nika jiuliza ingekuwa ni hapa Bongo sii ungetafutwa kwa kumdhalilisha rahisi? nilicho kigundua kwa wenzetu ni kwamba kila mtu ana uhuru wa kuongea.
 
Good job naona makombora ya JF yanagonga pale panapotakiwa. Samora alikuwa anasema Aluta continua, ukishakuwa na rais mjinga kama huyu alivyo nchi haiwezi kuendelea isipokuwa kuwalinda Mafisadi papa ndani ya Chama Cha Majambazi.


Hututatishika na mafisi ambayo yananyemelea mkono wa binadamu na kufikiri utaanguka.
 

Wacha kamba wewe unawavunjia heshima wakina Mkwawa, ungekuwa mhehe wewe leo hii tungesikia huyo mwenyekiti wa Chama Cha Majambazi amejirekebisha.

Uliza hapo Kihesa au nenda Kalenga wakusimulie nini kiliwapata Wajerumani au nenda kaangalie majengo ya makumbusho ya Mkwawa wakusimulie, Wajerumani walipata kipigo kiasi gani ili sisi tuwe huru. Wewe ni mwenyeji wa Bagamoyo nani asiyekufahamu. Kula tu hiyo fweza ya walipa kodi lakini itakupalia very soon. I$%di*&ot.
 
Nisaidie mkubwa, lete ilani ya 2005 (ahadi za rais zote) hapa. Tuta tick moja baada ya nyingine, ni ipi ahadi kafanikisha. Kama kafanikisha more than 50% ya ahadi zake, nitawaomba wana JF tuungane kumpongeza. Lakini, i stand corected on this one, nina uhakina kwamba ameweza less than 10% of what he promised na hii itakua sababa tosha ya wewe kukataa kuanika ilani hapa janvini. LETE ILANI KAKA WE VERIFY!
Remember, Tz is a democratic country, sio Russia, China, Ethopia, Egypt etc ambako wanataka wananchi waimbe mbeleko ya kupongeza utawala hata wakati wanaboronga.
 
http://www.ccmtz.org/ilani/ilani.pdf
 

Ahsante sana Mkuu kwa mchango wako mzuri. Nawaona wanaotaka kumtetea Kikwete pamoja na kuwa hakuna analostahili kutetewa kutokana na utendaji wake mbovu wakiongezeka kila kukicha hapa jamvini ili kumfagilia katika safari ya kuelekea October 2010. Kweli inakatisha sana tamaa.
 
Kwa hiyo unamaanisha Kikwete kafanya mabaya tu siyo.Mbona hakuna zuri linaloandikwa kuhusu Kikwete.Jamii forum ni forum ya majungu matupu.Mtapiga makalele na CCM itakuwa dume lenu muda wote.
 
Kwa hiyo unamaanisha Kikwete kafanya mabaya tu siyo.Mbona hakuna zuri linaloandikwa kuhusu Kikwete.Jamii forum ni forum ya majungu matupu.Mtapiga makalele na CCM itakuwa dume lenu muda wote.

Watu kama nyinyi hamna hata uwezo wa kuchambua mambo, Kikwete kafanya zuri lipi tangu aingie madarakani!? Ahadi zake za maisha bora kwa kila Mtanzania yanawezekana, Ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya, kuipitia tena mikataba ya madini ili iwe na maslahi kwa Watanzania na Mabilioni ya shilingi yote ni sifuri kabisa Mafisadi wote bado wanapeta tu sasa sijui ni zuri lipi ambalo wewe unaliona limefanywa na Kikwete. Watu kama ninyi mnapiga makofi bila hata kujua mnapiga makofi kwa Kikwete kwa lipi wakati nchi inaangamia....Oh! Well baadhi ya Watanzania ndivyo walivyo wataichagua CCM daima hata kama nchi haina hata tone moja la maendeleo. Maskini Tanzania!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…