BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Untaka mbunge apinge msimamo wa serikali?
Mbunge wa chama tawala apinge bajeti ya serikali?Ndio, kwani hufahamu kazi ya mbunge??!
Ndio uwezo wako umeishia hapa kabisa kuwaza?Mbunge wa chama tawala apinge bajeti ya serikali?