BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Watu wa kulalamikia ni walenwapiga makofi kule Mjengoni wale ndio tatizo kubwa sana nchi hii, na awu hii walivyo jazana kule sasa ndio balaa tupu.
Naona watu wanamulaumu sana Mwigulu, sijaona kosa la jamaa, bali kuna wale wapiga meza mkofi wale ndio watu wa kulaumu.
Mara nyingi wamekuwa wanapitisha sheria ambazo baadae tena hurudishwa Bungeni kufanyiwa masahihisho.