Wakati mwingine tunafanya mambo tukidhani tunasolve matatizo, kumbe tunajiongezea Utamaduni huu umezoeleka miongoni mwetu kama sehemu ya maisha, lakini mimi nauita ushamba. Ikitokea mtu anatoka mikoani kuja mjini hususan Dar, au hata huko mikoani kwenyewe, mtu unatoka mkoa huu unaenda mwingine, utasikia mtu anaagiza "usisahau kunichukulia nyanya, parachichi, maembe, n.k.
Bei ya parachichi hapa Dar ni kati ya sh. 500 hadi 1000. Huko mikoani inauzwa 400 hadi 800. Tofauti ya bei ni sh. 200 tuu kwa tunda moja. Sasa nijitwishe nyanya ndoo, parachichi, sijui na mengineyo. nakubebea wewe mtu wa Dar. Hivi mnajua usumbufu tunaopata kwenye mabasi kubebeshana na hiyo mizigo? Ukifika stend wala huji kupokea nibebeshane nao, nilipe watu wanibebee mpaka kwenye bajaj au daladala. Humo kwenye daladala mara uambiwe ulipie mzigo. Hata kama nina kigari changu, unajua implications za kuongeza uzito kwa kulundika mizigo kwenye hivi vigari vyetu corolla?
Kwa mahesabu ya kiuchumi, hakuna tofauti yoyote ya gharama uliyookoa. Sasa, afadhali kama mtu anakutumia hela ya kuvinunua. Bado atataka umchukulie kwa hela yako.... jamani jamani watu wa Dar... acheni hizo basi. Mbona nyie mkija kijijini hata kubeba nguo mbili tatu ambazo zimekuvuka ukapaki kwenye begi la ziada ukaja nalo kijijini ambako wenzio wataziona mpya huwezi? Unalalamika mizigo mingi...
mimi mizigo isiyo na ulazima sihangaiki nayo, hata ukinipa bure nipeleke kwetu, kama haina tija kiuchumi mtaniona ,mbaya tuu poa. Kuna siku nikiwa mkoa x, nilisafiri hadi mkoa z ambako ndio kijijini kwetu. Umbali kati ya hiyo mikoa ni km 650. Ajabu, siku naaga kurudi mkoa x, nawasha gari, nikaona shemeji anakuja na furushi kubwa nikaogopa... Kanijazia debe mbili za viazi vitamu. Sasa ili nisimkatishe tamaa nikapokea mzigo.... Nilipowasha gari tuu, nikafikiria fasta either nikifika mjini kama km 20 tu mbele niuze. Baadaye nikawaza napita kwa broo mwingine kama 50km ahead. na kule kuna ukame vyakula kama hivyo havipatikani sana wanahemea huku, nikaona bora nikaudamp huko kwa bro tena watoto watashukuru sana. Haiwezekani nitembee na debe 2 za viazi kilometa 600 wakati huku niliko bei ni ile ile, kama kuna tofauti haizidi sh 2000 tuu.Huyu shem wangu nilimsamehe tu bure, kwa sababu ya village culture, hana exposure na magari, wala safari ndefu. Nilimsamehe kwa ignorance yake, lakini nyie wa mjini, siwezi kusema ni ujinga, bali ni ulimbukeni na unyonyaji.
Hiki kisa changu nimeweka tu kama mkolezo, lakini watu wa Dar mnatusumbua jamani, acheni kutuagiza hovyo hovyo, hailipi..... acheni unyonyaji