Watanzania hutumia miaka 10 hadi 15 kujenga nyumba

Watanzania hutumia miaka 10 hadi 15 kujenga nyumba

Vilevile kuanza kwa mradi wa treni ya umeme tutegemee watu wengi wataishi Morogoro na kuja kazini Dar es Salaam,” amesema Abdallah.

Labda hiyo SGR wapewe wengine kuindesha
 
Afadhali hao kuliko kuchukua mortgage na kuhangaika kulipa miaka 20-25.
 
Kujenga nyumba nadhani ndicho kitu cha gharama zaidi katika maisha ya mtanzania. Inabidi itafutwe namna ya kumomboa.
 
Back
Top Bottom