Watanzania, huyu hapa muwekezaji mwingine mnampoteza kizembe kwa mnavyomzingua, anawaza kuja Kenya

Watanzania, huyu hapa muwekezaji mwingine mnampoteza kizembe kwa mnavyomzingua, anawaza kuja Kenya

Huyo ni Muarabu na Waarabu wanapenda Tanzania maana huko ndiko wanakoweza kuwanyonya kabisa. Azam, Mo Dewji na waarabu wengine wanatawala huko Tanzania.
Sasa mbona mnamnyemelea mbona hata huko wakina Vimal Shah na jamaa wa Sameer group na National group wanawafinya!
 
Mbona alituma pesa kwa BoT badala ya kutuma pesa kwenye akaunti yake ya CRDB? Au sheria ya Tanzania inalazimisha mwekezaji kutuma pesa kwa BoT kwanza ili BoT ifanye uchunguzi kuhusu uhalali wa pesa hio? Hii process ndefu ni ya ujinga tu maana investors wengi watatoroka kwa sababu ya kuzungushwa kama watoto. Hapa Kenya investor anaweza kutuma pesa ndani ya nchi au kuituma nje ya nchi bila kubabaishwa na yeyote.

What does Kenya's Law say about capital repatriation?
 
Tanzania is a sleeping giant
hakuna cha sleeping giant inawezekana pesa imeshapelekwa kwenye miradi mingine na kwa ucheleweshwaji huu angestahili zipelekwe huku PIL na interest kidogo 2018 2020
 
Mbona alituma pesa kwa BoT badala ya kutuma pesa kwenye akaunti yake ya CRDB? Au sheria ya Tanzania inalazimisha mwekezaji kutuma pesa kwa BoT kwanza ili BoT ifanye uchunguzi kuhusu uhalali wa pesa hio? Hii process ndefu ni ya ujinga tu maana investors wengi watatoroka kwa sababu ya kuzungushwa kama watoto. Hapa Kenya investor anaweza kutuma pesa ndani ya nchi au kuituma nje ya nchi bila kubabaishwa na yeyote.

hapa sio investor tu hata wewe ukitaka kumtumia pesa nyingi ndugu yako aliye huku inabidi zitumwe BOT
 
Hata mimi sijaelewa mantiki au busara ya kupeleka pesa BoT, namuona mjinga sana huyo muwekezaji, isitokee zimetafunwa kwa kutumika kwa kale kamsemo wanapenda kutumia "tumejenga kwa pesa yetu ya ndani".

muwekezaji sio mjinga, kuna sheria huku inasema pesa ipitie BOT , wajinga ni viongozi
 
muwekezaji sio mjinga, kuna sheria huku inasema pesa ipitie BOT , wajinga ni viongozi
Nilijua tu kuwa lazima kuna sheria mbovu inayoshurutisha Wawekezaji kutuma pesa BoT kwanza kabla ya pesa hio kuingia kwenye personal bank account ya muwekezaji. Kwa sheria za kishamba kama hizi mtaendelea kukosa uwekezaji wa maana katika uchumi wenu.
 
Atahamia Zanzibar mwinyi kaisha sema kama amtu unataka kuwekeza wekeza hana mda wa kuuliza umetoa wap ela zako
 
Back
Top Bottom